halle quen💫 (@humblequeen02) 's Twitter Profile
halle quen💫

@humblequeen02

Allah is great

CEO NISHIKE MKONO FOUNDATION.

ID: 1489288459894366212

calendar_today03-02-2022 17:24:09

193,193K Tweet

13,13K Followers

4,4K Following

LOCHO (@muandazi) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA REPOST YAKO HAPA Kwenye Kila nchi hua Kuna timu mbili ambazo ni mahasimu (wapinzani wakubwa) na sababu zake mara nyingi hua wanatoka mtaa /mji mmoja LEO TUFAHAMU KWA UFUPI KUHUSU CHANZO CHA KUANZISHWA KWA INTER MILAN NA UHASIMU WAO UZI MFUPI 📜📜👇👇

NAOMBA REPOST YAKO HAPA

Kwenye Kila nchi hua Kuna timu mbili ambazo ni mahasimu (wapinzani wakubwa) na sababu zake mara nyingi hua wanatoka mtaa /mji mmoja

LEO TUFAHAMU KWA UFUPI KUHUSU CHANZO CHA KUANZISHWA KWA INTER MILAN NA UHASIMU WAO

UZI MFUPI 📜📜👇👇
ZIP🇹🇿 (@zipdmpjr22) 's Twitter Profile Photo

Niwaambie tu Kitu pambana sana Uweze Kujisaidia mwenyewe Shortly peaple they dont care about your Problem hata kama Uliwa Kuwasaidia kwa kiasi gani? Ukipata weka akiba kwa ajili ya akujisaidia 🙋 muwe na usiku mwama........... ✅

Mudrìck (@mudrick02) 's Twitter Profile Photo

Huu ni muda wa waganga mashabiki wa simba kuungana ili kombe libaki msimbazi. Wanatakiwa kuzika hata ngombe pale New Aman.