
jacob Icia
@icia_jacob
Multimedia Journalist, Sports Enthusiast, Passionate about IR, Peace & Conflict.All hope in the Lord Jesus. [email protected]
ID: 1361720012
18-04-2013 11:49:45
57,57K Tweet
46,46K Followers
516 Following


Deserved! Congratulations 🎊 Coco Gauff



Katika #JukwaaLaMichezo 6:30am Radio Citizen: - Carlos Alcaraz bingwa wa Roland-Garros - Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy asikitishwa na sare ya Chad - GSU, Pipeline mabingwa wa voliboli nchini Vincent Ateya MelodySinzore1 Sally Mbeyu



Katika #JukwaaLaMichezo Radio Citizen 8:30am: - Mkufunzi wa Harambee Starlets Beldine ajiuzulu, tetesi za kuhujumiwa kazini zikiibuliwa - Gavana wa Kakamega F. Barasa asisitiza ujenzi wa Bukhungu waendelea vyema - Cristiano Ronaldo aongoza Ureno kutwaa taji la Nations League Sally Mbeyu


Taji la Ligi Kuu Soka Kenya litakwenda na timu ipi kati ya : 1.Gor mahia 2.Kenya Police 3.Shabana Mkalla Mwambodze Geoffrey Mwamburi (BEKI) jacob Icia #MichezonaBurudani #RadioNumberOne


Kuna baadhi ya wachezaji wa Polisi lazima waingie kwa first eleven. Kwa vile wameshinda taji nyingi hii ni timu inatakikana kucheza Nationals. Mkalla Mwambodze Geoffrey Mwamburi (BEKI) na jacob Icia #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne

Kocha anapaswa kuwa strategic kwa sababu anaongoza timu la taifa. Kocha wa timu la Taifa hafai kuwa na mshikamano na timu nyingine. Mkalla Mwambodze Geoffrey Mwamburi (BEKI) na jacob Icia #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne

Nilihama kwa sababu Manchester United ilinifanya nikae ni kana kwamba sijui mpira- DJ Flash Kenya Mkalla Mwambodze Geoffrey Mwamburi (BEKI) na jacob Icia #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne

Darajani Gogo wanapaswa kufunga zaidi ya mabao saba kile amabacho APS Bomet wanadhani itakuwa vigumu. Je, unadhani hesabu za Darajani Gogo zitaingiana? Mkalla Mwambodze Geoffrey Mwamburi (BEKI) na jacob Icia #MichezoNaBurudani #RadioNumberOne



🚨WORLD RECORD!🚨 Mondo Duplantis clears 6.28m at the first attempt to set a new world record in front of his home crowd! #StockholmDL🇸🇪 #DiamondLeague 📷 Thomas Windestam / Chiara Montesano



