ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile
ikulu_Tanzania

@ikulumawasliano

Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿

ID: 996683519991664640

linkhttp://www.ikulu.go.tz calendar_today16-05-2018 09:27:23

11,11K Tweet

542,542K Followers

6 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika