Jane (@jayii22) 's Twitter Profile
Jane

@jayii22

Be good even without a reasonโค.

Isaiah46:3-9

ID: 1748242125706104832

calendar_today19-01-2024 07:13:26

42,42K Tweet

4,4K Followers

2,2K Following

Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile Photo

Hii apa lists ya wasanii 10 wa bongo ambao ni ndugu wa damu Namba sita(6) itakushangaza 10. TID na kalapina (mmoja mtoto wa mama mkubwa na mwingine mama mdogo) โคต๏ธ

Hii apa lists ya wasanii 10 wa bongo ambao ni ndugu wa damu 

Namba sita(6) itakushangaza 

10. TID na kalapina (mmoja mtoto wa mama mkubwa na mwingine mama mdogo) โคต๏ธ
Heis_ (@son_noeli) 's Twitter Profile Photo

Kuna mzeee nimemuamkia hapa kwenye daladalaa lakini kila kila ikipigwa piano anaruka nayo mstari kwa mstari hadi mwisho aah najilaumu sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ

Kuna mzeee nimemuamkia hapa kwenye daladalaa lakini kila kila ikipigwa piano anaruka nayo mstari kwa mstari hadi mwisho aah najilaumu sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ
๐Ÿฆš (@tracytrachu) 's Twitter Profile Photo

Mtu anaamua kukupenda kimya kimya kichwani kwake mpaka mnaachana mnakua maex kichwani kwake alafu anaanza kukuchukia live sasa๐Ÿ˜‚unajiuliza huyu vipi mbona chuki kumbe wewe ni ex wake kichwani kwake๐Ÿ˜‚

Lewisโšก (@lewisdangote) 's Twitter Profile Photo

Usipende kushindana na watu kwa Jambo lolote lile maana watu tuna tofautiana majukumu. Maana akati wew una pambana kujitafutia mwengine yupo ametulia ana pambaniwa....๐Ÿน Good morning ๐ŸŒ

Usipende kushindana na watu kwa Jambo lolote lile maana watu tuna tofautiana majukumu.
Maana akati wew una pambana kujitafutia mwengine yupo ametulia ana pambaniwa....๐Ÿน
                
            Good morning ๐ŸŒ
Dr. Mishy๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ (@sharonmontana20) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa kweli hauogopi maswali wala ukweli, wanaoogopa kuambiwa hawatawali, wanatawala kwa woga. Taifa haliwezi kuongozwa kwa vikumbo vya hofu

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

UKWELI KUHUSU WIMBO WA JAY Z FOREVER YOUNG. - Picha hii ilipigwa mwaka 1945 na Joe Oโ€™Donnell dogo alikuwa kwenye foleni ya kumzika mdogo wake baada ya bomu hatari la Atomic. Alipo ulizwa kwanini hutaki kushusha maiti alijibu, Ni ndugu hanichoshi. Aliendelea kusema "ni ndugu

UKWELI KUHUSU WIMBO WA JAY Z FOREVER YOUNG.
-
Picha hii ilipigwa mwaka 1945 na  Joe Oโ€™Donnell dogo alikuwa kwenye foleni ya kumzika mdogo wake baada ya bomu hatari la Atomic.

Alipo ulizwa kwanini hutaki kushusha maiti alijibu, Ni ndugu hanichoshi.

Aliendelea kusema "ni ndugu