Jessy wa Bahrain (@jessy_makungu) 's Twitter Profile
Jessy wa Bahrain

@jessy_makungu

Daughter, sister, mother! All in all
RADIO LOVER

ID: 1154859455886045184

calendar_today26-07-2019 21:02:05

459,459K Tweet

34,34K Followers

11,11K Following

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Jumatano nyingine, Jumatano yenye mafanikio. Inajulikana kama WCW edition. Leo mambo ni mengi hivyo basi hakikisha uko ndani Ungana na Tina Ogal na @abdimunai kwenye show kubwa #DriveOnReloaded #RadioNumberOne

MUGAMBI AMATHI (@phiamax) 's Twitter Profile Photo

Tunashukuru serikali ya Rais William Samoei Ruto, PhD kwa hii kazi safi. Shukrani kwa kuweka maisha ya mwananchi wa kawaida mbele. #MukuruHandover Bye bye Slums Boma Yangu

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Mseto Rap Queens Edition* Today’s #MsetoHipHopTuesday is on fire with Big Nimoh & Lavie joining us live! We’ve got a new twist — #RhymeBilaMic — no mic, no beat, just bars! Fans drop their best rhymes via our WhatsApp or SMS #MsetoHipHopTuesday #RadioNumberOne

Mseto Rap Queens Edition*
Today’s #MsetoHipHopTuesday is on fire with Big Nimoh & Lavie joining us live!
We’ve got a new twist — #RhymeBilaMic — no mic, no beat, just bars! Fans drop their  best rhymes via our WhatsApp or SMS
#MsetoHipHopTuesday 
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Boda Boda Family! Mko tayari? Jumamosi hii – 24th May tukutane Jeevanjee Gardens kuanzia 🕗 8:00 AM kwa FREE medical camp. 🎤 Plus! Utapata nafasi ya ku-meet presenters wako favorite wa Radio Citizen! 📻🤩 Huduma zote ni BURE kabisa – usikose! 🙌🏾 #BodaBodaCare #RadioNumberOne

Boda Boda Family! Mko tayari?
Jumamosi hii – 24th May tukutane Jeevanjee Gardens kuanzia 🕗 8:00 AM kwa FREE medical camp.
🎤 Plus! Utapata nafasi ya ku-meet presenters wako favorite wa Radio Citizen! 📻🤩
Huduma zote ni BURE kabisa – usikose! 🙌🏾
#BodaBodaCare 
#RadioNumberOne
Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Jumapili hii kikosi cha Radio Citizen kitakua kinashiriki ibaada pamoja na waumini wa KAG Church Kimana Loitoktok. @abdimunai, Tina Ogal, Geoffrey Mwamburi (BEKI), MelodySinzore1 Sally Mbeyu watakuwepo. Njoo tushiriki pamoja kuanzia 9:00 Asubuhi. #RadioNumberOne

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Leo hii katika #MizaniYaSheria tunaye Dr. Brian Mutie ambaye ni wakili na tunaangazia jinsi ya kuandika wosia (Will ) Je, umeandika wosia wako ? Ni yapi ungependa kufahamu kutoka kwake ? Kamau Munyua #GoodEveningKenya #RadioNumberOne

Leo hii katika #MizaniYaSheria tunaye Dr. Brian Mutie ambaye ni wakili na tunaangazia jinsi ya kuandika wosia (Will ) Je, umeandika wosia wako ? Ni yapi ungependa kufahamu kutoka kwake ?
Kamau Munyua

#GoodEveningKenya 
#RadioNumberOne