
MNYIKA John John
@jjmnyika
CHADEMA Secretary General | MP, Kibamba constituency (2015-2020)| Former MP, Ubungo Constituency (2010-2015) | Deputy Secretary General-Mainland (2014-2019)
ID: 89898588
http://mnyika.blogspot.com 14-11-2009 08:18:07
16,16K Tweet
1,0M Followers
29,29K Following

#Mei28 ni mojawapo ya siku muhimu katika kuanzishwa kwa Chadema Tanzania . Siku ya kwanza ni siku ya Chadema kupata usajili kamili 21 Januari 1993, hii ndio Chama kimeichagua kuwa rasmi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa #Chadema . Siku ya pili ni tarehe ya Mkutano Mkuu wa Kwanza kupitisha


Hotuba niliyotoa leo Arusha ni tunu kwa waasisi wa Chadema Tanzania na enzi kwa waliouwawa katika mapambano ya haki. Pia nimetoa mwito kwa wanaharakati na nimetoa ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Uwanja wa Soko Kuu niliugeuza #BungeLaWananchi kuwezesha #SautiYaWatu kusikika na kura za

"Nimemsikia Rais akisema wanaharakati wakae mbali, mimi ninawaambia wanaharakati mahali pakumshika Rais Samia ni kurudi kwa haraka Mahakama ya Africa kukazia hukumu ili Tanzania ilazimishwe na Mahakama uchaguzi usiendelee." Mhe. MNYIKA John John

Bunge la wananchi Arusha limepiga kura ya wazi kuunga mkono ajenda ya #NoReformsNoElection Mhe. MNYIKA John John

“NO REFORMS, NO ELECTION!” Bunge la Wananchi wa Arusha limesema kwa sauti kuu na bila woga: Hatutaki uchaguzi bila mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria. Chama Cha Mapinduzi , salamu ziwafikie huko Dodoma – kazi yetu ni kuwaambia Watanzania ukweli kuhusu nchi yao, na Watanzania


Mhe. MNYIKA John John akizungumza na wakazi wa Karatu leo tarehe 29 Mei 2025 ikiwa ni mwendelezo wa operesheni #NoReformsNoElection katika kanda ya Kaskazini.


Mhe. MNYIKA John John akizungumza na wakazi wa Karatu leo tarehe 29 Mei 2025 ikiwa ni mwendelezo wa operesheni #NoReformsNoElection katika kanda ya Kaskazini.



Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa Mhe. MNYIKA John John leo tarehe 29-05-2025 jimbo la KARATU kwenye mwendelezo wa operesheni #NoReformsNoElection inayoendelea katika kanda ya Kaskazini.

Hapa chini ni video link ya mkutano tuliohutubia Karatu: youtu.be/pF9cStmt4iw?si… Pamoja na hujuma za kunyimwa viwanja na kulazimika kuhamishia mkutano dakika za mwisho katika uwanja wa Ofisi za Chadema Tanzania ambavyo viko mbali na katikati ya mji mahudhurio na mwamko wenu umetuma

Live muda huu Mbulu Mjini. Mkurugenzi wa Halmashauri alifunga eneo la uwanja ambao ulishalipiwa tayari na Chadema Tanzania kwa kisingizio kuwa polisi wanafanya mazoezi. Wananchi wamekuwa na uvumilivu hatimaye geti limefunguliwa , #NguvuYaUmma imeingia uwanjani. Tumeanza kuhutubia





"Vyama vilivyokubaliana na msimamo wa CCM, vilivyosaini maadili, vinavyotaka kubariki uchaguzi haramu, msivisikilize wala msiviunge mkono kabisa." Mhe. MNYIKA John John

Wananchi wa Babati wamesema Mhe. MNYIKA John John kama hawakutaki uwe Katibu Mkuu wa Chadema, sisi tutakuita Katibu Mkuu wa wananchi.
