Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile
Jokate Mwegelo

@jokatem

Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid

ID: 383368286

calendar_today01-10-2011 19:13:19

45,45K Tweet

1,2M Followers

1,1K Following

Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Heri ya siku yako ya kuzaliwa Jojo Jokate Mwegelo .Binafsi nakupongeza kwa mambo mengi sana,mbali na kuwa mwanamke wa kwanza kuwa katibu mkuu wa UVCCM Taifa,umekuwa kioo kwa mabinti wengi nchini,umekuwa kielelezo cha kwa nini vijana na wanawake wanapaswa kuaminiwa kwenye nafasi mbali

Heri ya siku yako ya kuzaliwa Jojo <a href="/jokateM/">Jokate Mwegelo</a> .Binafsi nakupongeza kwa mambo mengi sana,mbali na kuwa mwanamke wa kwanza kuwa katibu mkuu  wa UVCCM Taifa,umekuwa kioo kwa mabinti wengi nchini,umekuwa kielelezo cha kwa nini vijana na wanawake wanapaswa kuaminiwa kwenye nafasi mbali
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi ya leo nimeshiriki Misa Takatifu kwenye Parokia ya Bugando kwa mualiko maalumu wa Masista Wa Mabinti wa Maria Jimbo Kuu la Mwanza. Nawashukuru sana kwa mapokezi mazuri na neema hii ya kusali pamoja nao.

Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Jana jioni masista wa shirika la Mabinti wa Maria Jimbo Kuu La Mwanza waliniomba nitembelee shule yao ya Sekondari yenye Wanafuzi takribani elfu moja. Nilikuwa humbled sana kusikia Dada Mkuu wa shule hiyo akisema amefuatilia safari yangu ya uongozi tangu yuko Primary School

Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wetu wa Vijana Cde Mohamed Kawaida ameisimamisha Ikungi, Singida leo kwenye ziara yake ya kikazi ndani ya mkoa huo. Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kumlaki Kiongozi wao πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š

Mwenyekiti wetu wa Vijana Cde Mohamed Kawaida ameisimamisha Ikungi, Singida leo kwenye ziara yake ya kikazi ndani ya mkoa huo. Vijana wamejitokeza kwa wingi sana kumlaki Kiongozi wao πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Tukisema KAZI na UTU tunamaanisha!!!! Vijana wa CCM tunafanya kazi, tunabuni miradi ya kiuchumi, tunataka kujitegemea na kuondokana na kuwategemezi. Tunafanya kwa vitendo!!! Leo mwenyekiti amezindua mradi wa frame 73 za UVCCM Mkoa wa Singida!!

Tukisema KAZI na UTU tunamaanisha!!!!

Vijana wa CCM tunafanya kazi, tunabuni miradi ya kiuchumi, tunataka kujitegemea na kuondokana na kuwategemezi. Tunafanya kwa vitendo!!!

Leo mwenyekiti amezindua mradi wa frame 73 za UVCCM Mkoa wa Singida!!
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji wa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dr Samia Suluhu kwenye kuendeleza vijana wa Kitanzania kupitia sekta ya Elimu ni dhahiri. Huyu ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari inayomilikiwa na Serikali ya Kiranyi iliyoko Arumeru mkoa wa Arusha. Vijana wetu

Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa mtumishi kisarawe nilitembelewa na vijana zaidi ya elfu mbili kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM walifika kwa kujitolea kwenye kazi za kijamii. Vijana wa Tanzania wana uwezo mkubwa wa kujipanga na kujitoa kwa maslahi mapana ya nchi yao. Vijana wa Tanzania ni wazalendo