
Joseph Njane
@josephnjane1
Broadcast Journalist at @radiocitizenfm.
ID: 468250276
19-01-2012 10:18:54
13,13K Tweet
8,8K Followers
992 Following


In the papers today... Radio Citizen

Leo hii ndani ya #JamboKenya Radio Citizen , mgeni wetu ni Katibu katika wizara Nyumba na Maendeleo ya Miji Charles Hinga Mwaura; CBS, CA (SA) . Usikose kutegea na kuuliza maswali yako ujibiwe.


Katika mjadala wa #JamboKenya tunaangazia umuhimu wa kulinda na kuheshimu haki za watoto. Tegea mazungumzo haya ndani ya #JamboKenya Probation and Aftercare Service @DCS_Kenya UNODC Eastern Africa


Gumzo Mtaani Mswada wa fedha 2023, hii imeenda ama bado kuna tumaini? #JamboKenya MelodySinzore1 Vincent Ateya













