
Joash Onsare
@joshonsare
Swahili Editor, Anchor, Reporter @TV47News |
Media Trainer | Environmental enthusiast | Event MC …
ForBooking : [email protected]
ID: 2156388499
26-10-2013 08:07:06
1,1K Tweet
1,1K Followers
2,2K Following

MASOMO YALIYOTIA FORA 2024 Mtihani wa KCSE ulijumuisha Somo 30. Watahaniwa waliboresha alama kwa somo 17. Watahiniwa waliangusha alama za somo 10. Somo la Hisabati lilifanywa bora zaidi kwa somo zote. #TV47Matukio Joash Onsare

UDANGANYIFU KATIKA KCSE 2024 Watahiniwa 840 walihusika katika udanganyifu wa KCSE 2024. Walimu na wataalamu aidha walihusika kuwasaidia katika udanganyifu. Waliohusika na udanganyifu matokeo yao yalighairiwa. #TV47Matukio Joash Onsare


MAANDAMANO YA WANAHABARI TURKANA Wanahabari waandamana Turkana baada ya vitisho. Waziri wa Elimu amewatishia wanahabari. Wanahabari wakashifu dhuluma na vitisho. Wanahabari waliangazia taarifa ya wanafunzi waliosomea chini ya mti. #TV47Matukio Joash Onsare

WASHUKIWA WA MAUAJI YA RICHARD KIZIMBANI Washukiwa watano wafikishwa mbele ya mahakama Nakuru. Wanashukiwa kuhusika kwenye mauaji ya Richard. #TV47Matukio Joash Onsare



KUKABILI DHULUMA ZA KIJINSIA KISII Washikadau waandaa vikao vya kuelimisha na kutoa uhamasisho kwa Jamii. Hofu ya ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia katika Jamii. #TV47Matukio Joash Onsare





Je, Maoni yako ni yepi baada ya hospitali za kibinafsi kusitisha matumizi ya bima ya SHA? Ungana na Joash Onsare akiangazia Mustakabali wa Afya humu nchini. #TV47Matukio #DarubiniYaAfya Joash Onsare







