Justina Mashiba (@jtmashiba) 's Twitter Profile
Justina Mashiba

@jtmashiba

Government (CEO UCSAF)

ID: 1011096157

calendar_today14-12-2012 12:52:32

88 Tweet

181 Followers

117 Following

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Maafisa wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF), wakitoa elimu kwa wanachi mbalimbali waliotembelea banda la UCSAF katika maonesho ya Nane-Nane yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale, Jijini Mbeya.

Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidigitali, kata ya Miguruwe wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi itafikishiwa huduma ya mawasiliano na mtoa huduma Tigo, ambaye atajenga minara miwili. Vijiji vitakavyonufaika ni 4 ambavyo ni Miguruwe, Mtepera, Nakingombe, Zinga Kibaoni The Chanzo

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Studio ya redio jamii ambayo imeboreshwa kwa kuwekewa vifaa vya kisasa na jengo lake kukarabatiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF). Iko tayari kutumika na itazinduliwa hivi karibuni....

Studio ya redio jamii ambayo imeboreshwa kwa kuwekewa vifaa vya kisasa na jengo lake kukarabatiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF).

Iko tayari kutumika na itazinduliwa hivi karibuni....
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya UCSAF), inapenda kuwafahamisha wadau wake wote na wananchi kwa ujumla kuwa ofisi za UCSA zilizokuwa Chuo Kikuu cha Dodoma zimehamia katika jengo jipya la Ofisi za UCSAF "UCSAF HOUSE" lililopo Njedengwa, barabara ya UCSAF Jijini Dodoma.

UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akikabidhi tuzo ya asante kwa Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Justina Mashiba kufuatia udhamini wa Mkutano wa Mashirika ya Umma ya Utangazaji Kusini mwa Afrika ( SABA) uliofunguliwa leo visiwani Zanzibar.

Chen Mingjian 陈明健 (@chenmingjian_cn) 's Twitter Profile Photo

Glad to meet with Justina Mashiba, CEO of Universal Communications Service Access Fund UCSAF-Tanzania. We exchanged our views on ICT and AI cooperation between China&Tanzania. Both of us believe that we will share a bright and successful future in these areas.

Glad to meet with <a href="/jtmashiba/">Justina Mashiba</a>, CEO of Universal Communications Service Access Fund <a href="/UcsafT/">UCSAF-Tanzania</a>. We exchanged our views on ICT and AI cooperation between China&amp;Tanzania. Both of us believe that we will share a bright and successful future in these areas.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Kutoka katika Kijiji cha Itaga, Kata ya Misha Mkoani Tabora ambako leo tarehe 13 Machi, 2024 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mnara wa mawasiliano ya simu unaojengwa kwa ruzuku inayotolewa na Serikali kupitia ( UCSAF).

Mtendaji Mkuu UCSAF, Justina Mashiba akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kirongwe kata ya Bukura na Ingri juu Kata Mirare Wilayani Rorya Mkoani Mara, ikiwa ni maadalizi ya ziara ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu itakayofanyika kesho tarehe 15 Machi, 2024.

Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Justina Mashiba akitoa taarifa ya utendaji wakati wa kikao cha Tathmini ya Utendaji wa Serikali na Sekta Binafsi katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Dr. Jabhera Matogoro (@dr_matogoro) 's Twitter Profile Photo

📍Arusha, Tanzania Yesterday was a big day when @wizarahmth had the opportunity to showcase their achievements & strategize for the future. I was impressed by the work carried out by UCSAF-Tanzania & their call to action, led by our own Sister Justina Mashiba, a professional lawyer and CEO.

📍Arusha, Tanzania

Yesterday was a big day when @wizarahmth had the opportunity to showcase their achievements &amp; strategize for the future. I was impressed by the work carried out by <a href="/UcsafT/">UCSAF-Tanzania</a> &amp; their call to action, led by our own Sister <a href="/jtmashiba/">Justina Mashiba</a>, a professional lawyer and CEO.
UCSAF-Tanzania (@ucsaft) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF), katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa JNICC kwa ajili ya kushiriki uzinduzi wa kampeni ya kuelimisha umma Kanda ya Pwani, kuhusu utekelezaji mradi wa ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano ya simu leo tarehe 9 Aprili, 2024.

Baadhi ya wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya TEHAMA kwa wasichana katika kituo cha Mbeya wakielezea waliyojifunza tangu walipoanza kushiriki mafunzo. #WasichanaNaTEHAMA2024