
Julius Joseph Massabo.
@juliusmassabo
#MuhambweDreamer
ID: 563662353
26-04-2012 09:23:31
64,64K Tweet
10,10K Followers
344 Following

Operesheni Maji Maji. Msafara wa KC Mstaafu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe utapita kwenye majimbo 14 ya Tanzania Bara. Oktoba #LindaKura ACTWazalendo








Uzi Operesheni Maji Maji Picha na matukio ya Msafara wa KC Dorothy Semu. Julai 03, 2025. Kiongozi wa Chama akiingia uwanjani tayari kwa kuzungumza kwa wakazi wa Jimbo la Kibondo, Mkoani Kigoma. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


Dorothy Semu shangwe Ayo Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Peter Madeleka; Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara, Julius Joseph Massabo. na Naibu Waziri Kivuli wa TEHAMA, NTOBI wakizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Kibondo Mkoani Kigoma. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi


📍Jimbo la Muhambwe Kigoma "Viongozi wetu wako barabarani nchi nzima kuhakikisha hatuwasusii uchaguzi CCM." Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara Julius Joseph Massabo. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi








Operesheni Majimaji Jimbo la Temeke Ni nchi nzima! Majimbo yote kufikiwa iwe kwa mikutano ya hadhara ama kwa vikao vya ndani. Madhumuni ni kuwandaa viongozi na wanachama wetu kuelekea uchaguzi mkuu. Shekhe Ponda na Ruqayya Mahmoud Nassir leo walikuwa TEMEKE Oktoba #LindaKura


Shinyanga imekuwa Zambarau. Na nikawaomba viongozi wangu, tutambe na zambarau kwenye barabara za Kata ya Ngokolo zilipo ofisi mpya za kisasa za ACTWazalendo #TheFutureIspurple 🔥 #MuhuniHasusiwi ✊🏾

