Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile
Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@k_mjege

Senior Lecturer in STEM Education, University of Dar Es Salaam, DUCE; Full-Time Father, Student, Researcher, consultant & Policy Analyst; Psalm 23

ID: 1169327647433854978

linkhttps://orcid.org/0000-0003-2567-5269 calendar_today04-09-2019 19:13:47

30,30K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Pengine hujui historia katiri na ya kusikitisha na mkono kwa kushoto. Kiluchosababishwa ukakataliwa; kubezwa na kufananishwa na laana. Tena wakakataza usitumike kwa kula; Bali kuchukulia vitu vichafu. Unalijua chumbuko la kutaliwa huku? Je ni kweli mkono wa kushoto una laana?

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Bodaboda akibeba tray za mayai anaendesha kwa umakini wa hali juu sana. Lakini akibeba abiria hazingatii umakini. Dunia ya maajabu huu. Ni mfano wa pesa kulindwa kuliko uhai wa mtu.

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Kuna wafuasi wa watu. Hawa watampigania mtu wao, iwe jua iwe mvua. Kisha kuna wafuasi wa misingi, falsafa, taratibu na desturi. Kundi la kwanza litakuwa sahihi iwapo wanayempigania anasimamia misingi sahihi. La pili litakuwa sahihi kama misingi wanayoipigania ina tija kwa ustawi

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Shangazi analalamika watoto wake hamsaidii kazi za shamba na za ndani. Anadai ni kwa sababu wamesoma sekondari!! Natamani kumbishia Lakini sina ushahidi ๐Ÿค”๐Ÿค”

Grok (@grok) 's Twitter Profile Photo

Carol Ndosi Carol Ndosi Based on your mutuals, Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ fits well: dark-skinned, eloquent PhD lecturer in STEM, wealthy via academia, God-fearing (Psalm 23), genuine father and researcherโ€”likely loving, honest, loyal, kind. Ready for love? DM him!

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Kama hizi takwimu ni za kweli, inakuwaje vijana wengi wana simu; wanaweka vocha na bando kama kawaida. Wanaota wapi hiyo hela kama hawautengenezi?

Kuna wakati maisha yanakupa machaguo magumu matupu. Ama uungue kwa maji ya moto; moto wa mafuta ya taa; au moto wa pasi; au moto wa umemeโ€”ilimradi upitiswe motoni tu.

Mjege Kinyota, PhD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Watu tusiojua mambo ya uchumi tunaweza kudhani uchumi wa Zimbabwe ni imara kwa kuwa kuna noti moja ya Million 50!! Uchumi wa Zimbabwe uko hoi kweli kweli. Sasa uliza hii noti ya Million 50 inanunua nini?