japhet mmbaga (@kighera50) 's Twitter Profile
japhet mmbaga

@kighera50

ID: 743883065634729984

calendar_today17-06-2016 19:08:38

28,28K Tweet

481 Followers

343 Following

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Aisee Kama Hadi Muasisi Na Kiongozi Mwandamizi Wa CDM Umejitoa, Bhasi Hiki Chama Kimekufa Ambao Hawaamini CDM Imekufa Wajiulize Hivi CDM Itawezaje Kusonga Mbele Bila MHESHIMIWA CPA. Dkt. Vitus Nkuna

Mchokozi !! (@olemtetezi) 's Twitter Profile Photo

Kwa Mnaosema Hamumjui Mheshimiwa CPA Dkt. Vitus Nkuna Vitus Ni MUASISI Wa CDM Vitus Ni Kigogo Na Jabali La Kisiasa Nchini Vitus Ni Think Tank Na Mshauri Mkuu Wa CDM Vitus Ndo Mwanachama Pekee ALIYEAMINIWA Kutunza Cheti Cha Usajili Wa CDM Tumlinde Vitus Kwa Wivu Mkubwa

Kwa Mnaosema Hamumjui Mheshimiwa CPA Dkt. Vitus Nkuna

Vitus Ni MUASISI Wa CDM

Vitus Ni Kigogo Na Jabali La Kisiasa Nchini

Vitus Ni Think Tank Na Mshauri Mkuu Wa CDM

Vitus Ndo Mwanachama Pekee ALIYEAMINIWA Kutunza Cheti Cha Usajili Wa CDM

Tumlinde Vitus Kwa Wivu Mkubwa
Farah Omar (@farahom91196252) 's Twitter Profile Photo

Mzee Mushi Umewasikia wanasheria wakisema hakuna kifungu cha sheria kinachompa mamlaka Msajili wa viama vya siasa kuondoa Uongozi wanasubiri barua

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Kama CDM haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, sisiemu mnaogopa nini kufanya reforms ukafanyika uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno hayo? mnaogopa nini?

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa Nairobi Wakati Mh Lissu Ni Mgonjwa Aliposhambuliwa Kwa Risasi , Kitu Kimoja Kikubwa Ktk Kinywa Chake Ni Nguvu Ya Ukiri Chanya.Katika Nguvu Ya Imani Kukiri Ni Zaidi Ya Maombi. Mkti Lissu Hajawahi Kukiri Hofu Hata Katikati Ya Matatizo Makubwa. Leo , Mahakamani Alikuwa

Nilikuwa Nairobi Wakati Mh Lissu Ni Mgonjwa Aliposhambuliwa Kwa Risasi , Kitu Kimoja Kikubwa Ktk Kinywa Chake Ni Nguvu Ya Ukiri Chanya.Katika Nguvu Ya Imani Kukiri Ni Zaidi Ya Maombi. Mkti Lissu Hajawahi Kukiri Hofu Hata Katikati Ya Matatizo Makubwa. Leo , Mahakamani Alikuwa
kimbesa. (@kimbesa11) 's Twitter Profile Photo

BBC News Swahili Nasisitiza nchi za Africa tuwe wazalendo kwa mataifa yetu, tuilinde heshima waliotuachia waasisi wa mataifa yetu. Waasisi wetu hawakuwahi kuongopa habari za Africa inje ya mipaka ya Africa Waasisi wetu hawakutaka Africa isemwe vibaya inje ya mipaka ya Africa/ nchi zao.

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Kuna VITA kali inapigwa chini chini pale kwenye page ya TANPOLโ€ฆ Yaani wanafuta wao wanapandishaโ€ฆ Futa nipandishe โ€ฆ futa nipandishe tena๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ