
Kitila Mkumbo (PhD)
@kitilam
Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!
ID: 1912949292
https://kitilamkumbo.co.tz/ 28-09-2013 03:29:13
4,4K Tweet
146,146K Followers
819 Following

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof Kitila Mkumbo Kitila Mkumbo (PhD) alichozungumza katika siku ya ufunguzi wa ofisi ya TIC Njombe📍







Waziri wa Nchi, (OR-MU) Mhe. Prof Kitila Mkumbo (PhD) (Mb.), amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mhe. Emilly Burns, Balozi wa Canada nchini Tanzania leo April 25, Jijini Dodoma. Mazungumzo yao yalihusu kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Uwekezaji na Uchumi baina ya mataifa hayo mawili.


Waziri wa Nchi, (OR-MU) Mhe. Prof Kitila Mkumbo (PhD), amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mhe. Emilly Burns, Balozi wa Canada nchini Tanzania leo April 25, 2025, Jijini Dodoma. Mazungumzo yao yalihusu kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Uwekezaji na Uchumi baina ya mataifa hayo mawili.





Participating @ArushaEconomicForum# moderated by Jeff Koinange, MBS and Richard Mgamba. As usual, Mesmerizing view points from PLO Lumumba!

Investing in colleges empowers our youth. Investing in energy powers our industries. If we’re serious about economic growth, both are non-negotiable. #FRS2025 #IWTz2025 Kitila Mkumbo (PhD) Vodacom Tanzania Innovation Week Tanzania Funguo Tanzania





