
Glado Gladwell
@kl_gladwell
An Editor; Camera operator,,
Self Driven Lady
#RemnantOfGrace
#MasterPieceOfGod
ID: 1324670141154627584
06-11-2020 11:09:57
693 Tweet
65 Followers
32 Following

#Np Imba by #BonnyMwaitege #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee Radio Ashe #TumainiLaUzima

#ShehenaLaBaraka mkondo wa lala salama karibu tukamilishe sote pamoja Call Her Dee Radio Ashe #TumainiLaUzima

Wakati ni sasa tunapanaga kazi kwenye #shehenalabaraka na John Lukingi Wambani Radio Ashe #Tumainilauzima

Mipango ya kesi: Kikao cha kupanga mikakati kuanza saa tano Kesi ya uchaguzi kuanza rasmi hapo kesho Wanahabari wetu Chemutai Goin katika mazungumzo na Dzuya Walter #KenyasChoice2022

#Np Bado by #MrTressor ft by #JemsYanguvu kwenye #shehenalabaraka na John Lukingi Wambani Radio Ashe #Tumainilauzima

#Np Emmanuel Chyneze Man kwenye #shehenalabaraka na John Lukingi Wambani Radio Ashe #Tumainilauzima

Zaburi 30:11 Umegeuza msiba wangu kuwa ngoma; Umeniondolea huzuni yangu, kunijalia furaha tele. Mzima wewe swahiba wangu...Karibu tukafunge kimtindo kwenye meli ya #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee . Una kita kambi ukiwa wapi?Call: 0712 000 014 SMS Line/WhatsApp: 0712 040 010


#ShehenaLaBaraka:Devotion of the day Start Speaking Faith Now Matthew 12:34-35 Words won’t work without faith any more than faith will work without words! It takes them both to put the law of faith in motion. Call Her Dee ^rt Radio Ashe #TumainiLaUzima

#ShehenaLaBaraka awamu ya pili ya ng'oa nanga....bado uko area mpendwa? Call Her Dee cc Radio Ashe #TumainiLaUzima

#Np Hudumia- Christopher Mwahingila #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee ^rt Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live : radioashe.org

#ShehenaLaBaraka awamu ya tatu....Mchana angavu, wikendi yenye baraka wa mtakia nani? Listen Live: radioashe.org Radio Ashe #TumainiLaUzima Call Her Dee


#Np Niguo Uri by Dr. Sarah K music #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee awamu ni ya tatu ^rt Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live: radioashe.org

#Np Adui- Martha Mwaipaja #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee awamu ya tatu ^rt Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live: www.radioashe

#ShehenaLaBaraka awamu ya lala salama. Call Her Dee Tuombe vipi na wewe? Hitaji lako la maombi ni lipi? ^rt Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live: radioashe.org


Uko tayari kusifu na kuabudu?Abiri kwenye #BarakaExpress nami John Lukingi Wambani Radio Ashe 4pm-7pm #Tumainilauzima

Aliye niita ni mwaminifu. Shikamoo wa marahabaa swahiba wangu na karibu tutikise anga kwa mpigo bila samahani ndani ya #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee.Una check in ukiwa wapi?Call: 0712 000 014 SMS Line/WhatsApp: 0712 040 010 Listen Live: radioashe.org


#ShehenaLaBaraka awamu ya pili. Karibu kwenye #mezahuruyamazungumzo. Je unadhani kuhusishwa kwa vijana kwa swala zima la amani litasaidia kivyovyote vile? Call Her Dee


#Np Olkilikwai Lolosh Lemaa- Daniel Ole Manjo #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee awamu ni ya tatu ndani ya Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live: radioashe.org

#ShehenaLaBaraka awamu ya mwisho. mchana mwema ni kwa nani? Call Her Dee Radio Ashe #TumainiLaUzima listen live: radioashe.org


Hujambo swahiba na karibu tunyakue mibaraka na kukamilisha juma kimtindo ndani #ShehenaLaBaraka na Call Her Dee . Check in ya kwako ni ipi?Call: 0712 000 014 SMS Line/WhatsApp: 0712 040 010 Twitter/Instagram: Radio Ashe Listen Live: radioashe.org
