kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile
kmcfc_official

@kmcfc_official

Official Account of Kinondoni Municipal Council Football Club.

ID: 1561132299269308417

linkhttps://www.threads.net/@kmcfc_official calendar_today20-08-2022 23:26:22

2,2K Tweet

2,2K Followers

35 Following

kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@balikohance amechanguliwa kuwa mchezaji mwenye nidhamu ndani ya Kikosi chetu kwa mwezi wa sita #Hongera #watotowamjini #wakishua #kinoboys

@balikohance amechanguliwa kuwa mchezaji mwenye nidhamu ndani ya Kikosi chetu kwa mwezi wa sita #Hongera #watotowamjini #wakishua #kinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@_ahmed_pipino amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys

@_ahmed_pipino amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@jammy_simba_jammy amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys

@jammy_simba_jammy amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

🔥VIRTUAL USHINDI WA HARAKA NA SIMU MPYA🔥 💯Shinda simu mpya ya Samsung A25 ukicheza michezo ya virtual ndani ya meridianbet na hii ni ya kila mtu hata wewe unaweza kuwa mshindi. 💯Jisasili kwa promocode KMC uwe miongoni mwa mshindi wa wiki hii.

🔥VIRTUAL USHINDI WA HARAKA NA SIMU MPYA🔥 

💯Shinda simu mpya ya Samsung A25 ukicheza michezo ya virtual ndani ya meridianbet  na hii ni ya kila mtu hata wewe unaweza kuwa mshindi.

💯Jisasili kwa promocode KMC uwe miongoni mwa mshindi wa wiki hii.
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Katika kuhakikisha anarejesha kwa Jamii , Kiungo wetu @_ahmed_pipino leo ametembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu cha Malaika kilichopo Kinondoni.

Mwenyekiti wa KMC Fc Mhe. Kheri Missinga amekuwa sehemu kikao cha kamati ya Bodi ligi Kuu kilichofanyika leo mapema katika Ukumbi wa Jengo la NSSF Mafao lililopo Ilala jijini Dar es salaam .

🔥LOOT LEGENDS CHIMBO LA MAMILIONEA🔥 🎰Zaidi ya TZS 1,500,000,000/= kutolewa ndani ya meridianbet, cheza michezo iliyowekwa kwenye shindano hili na uibuke milionea 💯Jisajili kwa promocode KMC na ufurahie burudani na ushindi usio na kifani Tembelea 🌍meridianbet.co.tz

🔥LOOT LEGENDS CHIMBO LA MAMILIONEA🔥

🎰Zaidi ya TZS 1,500,000,000/= kutolewa ndani ya meridianbet, cheza michezo iliyowekwa kwenye shindano hili na uibuke milionea

💯Jisajili kwa promocode KMC na ufurahie burudani na ushindi usio na kifani

Tembelea 🌍meridianbet.co.tz
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Miguu yake huzungumza zaidi akiwa uwanjani . 𝐔𝐧𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐲𝐮? 👀⚽👇

Miguu yake huzungumza zaidi akiwa uwanjani . 𝐔𝐧𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐲𝐮? 👀⚽👇
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Hamjaachana nasi hata kwa sekunde moja. Sauti zenu, mioyo yenu ndiyo ushindi wetu wa kwanza. Tunathamini uwepo wenu Mashabiki wetu Wote. #sisinikinondoni #letsgokinoboys #watotowamjini #wakishua #kinoboys

Hamjaachana nasi hata kwa sekunde moja. Sauti zenu, mioyo yenu ndiyo ushindi wetu wa kwanza. Tunathamini uwepo wenu Mashabiki wetu Wote.

 #sisinikinondoni #letsgokinoboys #watotowamjini #wakishua #kinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Mguu wa kushoto ndio Silaha yake Kubwa kwa kutoa pasi na kuangamiza wapinzani na mgongoni Jezi inasomeka namba 30. Mtag kwenye Comment kama unamjua 💥 #watotowamjini #kinoboys #wakishua

Mguu wa kushoto ndio Silaha yake Kubwa kwa kutoa pasi na kuangamiza wapinzani na mgongoni Jezi inasomeka namba 30. 
Mtag kwenye Comment kama unamjua 💥 #watotowamjini #kinoboys 
#wakishua
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 🔔#kinoboys #watotowamjini Jumatatu Sio mbali ! hakikisha una bando la kutosha 💥 #letsgokinoboys #sisinikinondoni #kinondoninisisi

𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 🔔#kinoboys #watotowamjini 
Jumatatu Sio mbali ! hakikisha una bando la kutosha 💥 #letsgokinoboys #sisinikinondoni #kinondoninisisi