paratrooper_255 (@kong_mufasa7) 's Twitter Profile
paratrooper_255

@kong_mufasa7

it's an honor and lucky to witness leonel messi playing football what a player,what a captain.

@CheSimbaCelona fan

ID: 1698555976650010624

calendar_today04-09-2023 04:38:36

2,2K Tweet

969 Followers

1,1K Following

BARร‡AGUY (@blackculer) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu kaangalia game jana halafu bado anasema Vitinha ni bora kuliko Pedri . Mtengwe aisee mna " insane football knowledge " ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ

Kuna mtu kaangalia game jana halafu bado anasema Vitinha ni bora kuliko Pedri . Mtengwe aisee mna " insane football knowledge " ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
Toto la kishua (@mswatiking_01) 's Twitter Profile Photo

Mousa Camara kafanya kazi yake vizuri sana, Aim ilikuwa kucheza mpira lkn Pacome alikuwa quick na karibu zaidi na mpira. That's how football works mmoja lazima afike kwenye tukio kwa wakati sahihi.

Toto la kishua (@mswatiking_01) 's Twitter Profile Photo

Miloud kuanza na viungo watatu energetic Abuya, Mudathiri, Aucho ilimfanya Mpanzu, Ahoua kukosa space ya kufanya dribbling zao mara nyingi kupitia central. Fadlu aka opt kumtoa Kagoma then Simba ikawa overloaded na rahisi kufikika zaidi ya mara ya awali. Walikuwa very slow

Miloud kuanza na viungo watatu energetic Abuya, Mudathiri, Aucho ilimfanya Mpanzu, Ahoua kukosa space ya kufanya dribbling zao mara nyingi kupitia central. 

Fadlu aka opt kumtoa Kagoma then Simba ikawa overloaded na rahisi kufikika zaidi ya mara ya awali. Walikuwa very slow
Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

" inna maโ€™al โ€˜usri yusraโ€ (Hakika pamoja na dhiki kuna faraja) โ€” [Surat Ash-Sharh (94): Aya ya 6] Hii surah ni miongoni mwa surah fupi lakini zenye ujumbe mzito sana wa faraja na matumaini. Qurโ€™an inazungumza moja kwa moja na Mtume Muhammad (s.a.w), ikimkumbusha jinsi Allah

Luka modric)๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@lparino2002) 's Twitter Profile Photo

Jitie kidole unase sasa kama choko, ulijua Chelsea ni bibi yako Arsenal? mlimfunga Madrid na nyie mkajiona mmeshinda kikombe et,๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Ikennasamuel (@ikennasamuel14) 's Twitter Profile Photo

Good morning Chelsea fans and friends, don't forget that we're the best club in the world...... We're WORLD CHAMPIONS ๐Ÿ’ช๐Ÿ’™๐Ÿ”ฅ๐Ÿคœ๐Ÿค›๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’™๐Ÿ’ช

Good morning Chelsea fans and friends, don't forget that we're the best club in the world...... We're WORLD CHAMPIONS ๐Ÿ’ช๐Ÿ’™๐Ÿ”ฅ๐Ÿคœ๐Ÿค›๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’™๐Ÿ’ช
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

Juma Ayo Internet imesharudiโ€ฆ Tuambie kuanzia irudi umereport kitu gani tofauti na makundi ya Yanga na Simba?? Haya kabla ya uchaguzi ulireport kitu gani kuhusu Haki za watu? Kutekwa,kumbambikiwa ma kesi ya ovyo hasa wapinzaniโ€ฆ Leta kipande chochote ulichoreport live! Usijifiche