
ππππ ππ¦π€ππ
@leahbtz
Social Media & Communication Expert | Member of @G_MachelTrust @FPA_Africa & @TAMWA_ |YouTube: @MediaLiteracy101 |All views are personal
ID: 235962322
09-01-2011 13:48:13
1,1K Tweet
2,2K Followers
589 Following



π΅TunaombolezaπΊπ³ "Mimi na familia yote ya United Nations tunaomboleza kuwapoteza wafanyakazi wenzetu wengi wa UNRWA Katikati ya mateso na maumivu yasiyofikirika, wafanyakazi wenzao huko #Gaza wanaendelea kuwahudumia wenye uhitaji licha ya hatari kubwa kwa maisha yao." AntΓ³nio Guterres


ππππππ cha Habari za UN a ππππ ππ¦π€ππ πMiradi ya UN Land and Drought yajengea mnepo jamii #Kenya πMagenge ya uhalifu na vitisho kwa raia #Haiti ππΉ


#HabarizaUN kwa ufupi na Evarist Mapesa π― Kila baada ya dakika 10 mtoto mmoja anauawa #Gaza - World Health Organization (WHO) π― "Mateka watoto wanaoshikiliwa na #Hamas lazima waachiliwe huru." - James Elder, Msemaji wa UNICEF π― Na kuelekea #COP28UAE...

Heri ya mwaka mpya 2024 kutoka kwetu sote hapa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa Habari za UN Kutoka kushoto: π·Anold Kayanda Anold Kayanda π·Flora Nducha Flora Nducha π·Leah Mushi ππππ ππ¦π€ππ π·Assumpta Massoi assumpta massoi


Mwaka 2024 rasmi #kiswahili kuanza kutumika kwenye shughuli za East African Community ya Afrika Mashariki - Asema Amb.(Dr.)Peter Mutuku Mathuki,PhD Katibu Mkuu wa #EAC katika mahojiano na ππππ ππ¦π€ππ

Je, maendeleo ya Akili Mnemba #ArtificialIntelligence #AI kama #ChatGPT ya OpenAI ni baraka au laana kwa ufundishaji wa #Kiswahili duniani? Msikilize Dkt. Filipo Lubua Filipo Lubua, Rais wa Chaukidu akihojiwa na ππππ ππ¦π€ππ wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.

Hii leo kutoka Genevaπ¨π& New York πΊπΈ Mashariki manne ya United Nations ambayoΒ ni lile la Mpango wa chakula duniani World Food Programme, Afya ulimwenguni World Health Organization (WHO), linalohusika na masuala ya watoto UNICEF na Β la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA wametoa taarifa ya pamoja kuhusu Gaza na nini kifanyike.

Muhtasari wa #HabarizaUN ukiwasilishwa na ππππ ππ¦π€ππ π― .Volker TΓΌrk na Filippo Grandi watoa wito kwa Uingereza kuhusu kuwapeleka #Rwanda waomba hifadhi. π― Ripoti za kutisha zinaendelea kuibuka #Gaza. π― Kuna ongezeko la #cholera kipindupindu duniani - World Health Organization (WHO)

Maandamano Kenyaπ°πͺ: Katibu Mkuu United Nations AntΓ³nio Guterres anafuatilia kwa karibu yanayoendelea #Kenya anataka haki ya kuandamana iheshimiwe - UN Spokesperson

#NewYork Mwakilishi wa Kudumu wa #Tanzania kwenye #UN Balozi Hussein Kattanga akiwasilisha mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Rasimu ya Azimio la kutambua Julai 7 kuwa siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili. MFA Tanzania Kwa sasa UNESCO ποΈ #Education #Sciences #Culture πΊπ³ ndio inatambua siku hii.



Hauchi hauchi umekucha, hayawi hayawi yamekuwa, hakika asiye na mwana aeleke jiwe, hatimaye Julai 01, 2024 Azimio (A/78/L.83) la kutaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa liitambue Julai 7 kuwa Siku ya Kimataifa ya Kiswahili limepitishwaΒ bila kupingwa. Somaβ¬οΈ news.un.org/sw/story/2024/β¦

Leo ni siku ya Kiswahili duniani, maadhimisho yakifanyika huku lugha hiyo ikiwa imetambuliwa sasa na Umoja wa Mataifa. Sikiliza ujumbe maridhawa kutoka kwa wanafunzi hawa wa Chuo Kikuu cha Ghana University of Ghana #KiswahililanguageDay UNESCO ποΈ #Education #Sciences #Culture πΊπ³

πππππππππ ππ ππππππ πShehena ya mafuta β½yaingia #Gaza United Nations π WHO/Europe yasema #mpox si kama #Covid itadhibitiwa haraka. Nchi za Ulaya zisaidie chanjo #Africa πLeo ni #MosquitoDay World Health Organization (WHO) yasema π¦anaua licha ya kuweko ππ Anold Kayanda ππππ ππ¦π€ππ

Hayawi hayawi yamekuwa! Vijana wameanza kuingia makao makuu ya #UN πΊπ³ kuwasilisha hoja zao kuelekea #SummitoftheFuture2024 Septemba 20 Dorice Mkiva wa UN Volunteers ataeleza jinsi yeye na UNICEF Tanzania wanashirikiana kuboresha #OurCommonFuture Amezungumza na Flora Nducha #UNGA79

#UNGA Tayari Waziri Mkuu wa #Tanzania πΉπΏKassim Majaliwa Majaliwa amefika katika studio za #UN πΊπ³jijini New York, Marekani mwa mahojiano na Flora Nducha Flora Nducha
