Daniel Likuyi (@likuyidaniel37) 's Twitter Profile
Daniel Likuyi

@likuyidaniel37

Radio Lover...
Arsenal fanatic
Am a Christian believer..
In love with Gospel and Reggea Music..

ID: 1099681732373159936

calendar_today24-02-2019 14:45:30

68,68K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

90.7 Truth Fm (@truthfmkenya) 's Twitter Profile Photo

As you retire for the ๐’˜๐™š๐’†๐™ ๐’†๐™ฃ๐’… with your family, May your home and life be garnished with love, blessing and praise. Finish the WEEK, strong with terry seih on #DawnBreak #TheBreakfastVoiceOfTheCity #WhereYourWeekendStarts! CALL/WHATSAPP 0727907907

As you retire for the ๐’˜๐™š๐’†๐™ ๐’†๐™ฃ๐’… with your family, May your home and life be garnished with love, blessing and praise.
Finish the WEEK, strong with terry seih on #DawnBreak #TheBreakfastVoiceOfTheCity #WhereYourWeekendStarts!
CALL/WHATSAPP 0727907907
Biblia Husema 96.7fm (@bhusema) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO Happy New Month Yeremia 29:11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye youtube.com/watch?v=hkvJ74โ€ฆ #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo #HappyNewMonth #HappyNewWeek

HOSSANA MACHEO
Happy New Month
Yeremia 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya,kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye
youtube.com/watch?v=hkvJ74โ€ฆ
#Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo #HappyNewMonth  #HappyNewWeek
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

#Neno...MUNGU ANAPOKUPIGANIA! Kutoka 14:24-28...Mungu anapokupigania hata adui atakubali kuwa unapiganiwa! Huyu Mungu hujua kufanya adui kuwa hoi, anafunga kila njia na kufanya hekima ya adui kuwa bure! Wacha akupigania kwa kila njia, Tukutane Galilaya!

#Neno...MUNGU ANAPOKUPIGANIA! Kutoka 14:24-28...Mungu anapokupigania hata adui atakubali kuwa unapiganiwa! Huyu Mungu hujua kufanya adui kuwa hoi, anafunga kila njia na kufanya hekima ya adui kuwa bure! Wacha akupigania kwa kila njia, Tukutane Galilaya!
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Are you guys ready for Chemba?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘Œ @drofweneke is already in the building! Tuambie unatupata ukiwa wapi? #Chemba #HapaNdipo

Are you guys ready for Chemba?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘Œ @drofweneke is already in the building!

Tuambie unatupata ukiwa wapi?
#Chemba #HapaNdipo
Radio 47 (@radio47_kenya) 's Twitter Profile Photo

Wambea mko tayari?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKaribu ndani ya Maskani 47 WCW Edition ukiwa naye Billy Miya na Mbaruk Mwalimu upate burudani kupindukia. Unategea ukiwa wapi? #BillyNaMbaruk #HapaNdipo

Wambea mko tayari?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKaribu ndani ya Maskani 47 WCW Edition ukiwa naye Billy Miya na Mbaruk Mwalimu  upate burudani kupindukia.

Unategea ukiwa wapi?
#BillyNaMbaruk #HapaNdipo
MulembeFM (@mulembe_fm) 's Twitter Profile Photo

#Kalakala Mushiliranga khu sahani ndala nende omukhaye wuwo shingana mwakholanga nimusererana? Pamela Kadima Shifalongo Washina Nibalishe

#Kalakala Mushiliranga khu sahani ndala nende omukhaye wuwo shingana mwakholanga nimusererana? Pamela Kadima Shifalongo Washina Nibalishe
Radio Ashe (@radio_ashe) 's Twitter Profile Photo

Anga ziko shwari! Uliko vipi? Ndio sasa #BarakaExpress imeteka anga Ili kukubariki. Nahodha wako ni Jonathan Tinga Nyaejr7 sema ulipo tukupitie.๐Ÿ“ท Pin mtaa wako na uwakaribishe wapendwa wako tusonge pamoja. Call:0712000014 Sms:0712040010

Anga ziko shwari! Uliko vipi? Ndio sasa #BarakaExpress imeteka anga Ili kukubariki. Nahodha wako ni Jonathan Tinga Nyaejr7  sema ulipo tukupitie.๐Ÿ“ท Pin mtaa wako na uwakaribishe wapendwa wako tusonge pamoja.
Call:0712000014
Sms:0712040010
Victor Mandala (@victormandalamc) 's Twitter Profile Photo

HOSSANA MACHEO:- #tbt Zaburi 56:3-4 Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe. Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini? youtube.com/watch?v=NQbg5Oโ€ฆ #Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo #tbt

HOSSANA MACHEO:-  #tbt
Zaburi 56:3-4
Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe. Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
youtube.com/watch?v=NQbg5Oโ€ฆ
#Hossanamacheo Biblia Husema 96.7fm @VictoMandalaMC #Himizo #tbt