Lulu Sakafu (@lsakafu2008) 's Twitter Profile
Lulu Sakafu

@lsakafu2008

MD, Mmed Radiology, PhD

ID: 801685734

calendar_today04-09-2012 02:57:05

21 Tweet

77 Followers

286 Following

MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya asilimia 70 ya vifo vinavyotokea nchini na duniani husababishwa na magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Kisukari, Pumu,Shinikizo la juu la damu,Kifua sugu, na Uzito uliopindukia.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila mapema leo alipofika hospitalini.

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Januari 22, 2024 ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) kwa lengo la kuangalia hali ya utoaji wa huduma za Afya kwa wananchi wanaofika hospitalini hapo. Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Ummy Mwalimu

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo Januari 22, 2024 ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) kwa lengo la kuangalia hali ya utoaji wa huduma za Afya kwa wananchi wanaofika hospitalini hapo.
<a href="/wizara_afyatz/">Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿</a> <a href="/ummymwalimu/">Ummy Mwalimu</a>
Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea siku ya Kimataifa ya Tiba ya Magonjwa ya Dharura, Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa elimu ya namna ya kujikinga na kukabiliana na majanga yanayoweza kujitokeza kwa wanafunzi wa shule za Sekondari Kambangwa na Kinyerezi zilizopo mkoa wa Dar es Salaam.

The Board Chairperson of Muhimbili National Hospital, Dr. Ellen M.Senkoro had an opportunity to meet with Minister for Health of Korea, Hon. CHO Kyoohong, President of KOFIH Tanzania Office HaIl-soo and other health partners during the side line meeting of Korea-Africa Summit organized by KOFIH.

The Board Chairperson of Muhimbili National Hospital, <a href="/SenkoroDr/">Dr. Ellen M.Senkoro</a> had an opportunity to meet with Minister for Health of Korea, Hon. CHO Kyoohong, President of <a href="/KofihTanzania/">KOFIH Tanzania Office</a> HaIl-soo and other health partners during the side line meeting of Korea-Africa Summit organized by KOFIH.
Muhimbili National Hospital (@muhimbilitaifa) 's Twitter Profile Photo

“Muhimbili ina uhitaji mkubwa wa damu takribani chupa za damu 120 kwa siku kutokanana idadi kubwa ya wagonjwa wanaopokelewa hospitalini hapo”. Dkt.Yonaz Mbonea Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Shirikishi Muhimbili

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara nyingine MNH-Mloganzila imefanya huduma ya Ubingwa Bobezi ya upasuaji wa kupandikiza figo kwa wagonjwa wawili ambapo figo imevunwa kutoka kwa mchangiaji kwa kutumia utaalam na njia ya kisasa ya tundu dogo (Hand Assisted Laparascopic Donor Nephrectomy).

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) chini ya mradi wa NEST 360 ambao una lengo kuboresha huduma kwa watoto wachanga wanaohudumiwa kwenye kitengo cha uangalizi maalum kwa watoto wachanga chini ya siku 28.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Hongera kwa Klabu ya Simba kwa ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya CS Sfaxien. Mmewapa mashabiki na Watanzania wote kwa ujumla burudani na furaha. Endeleeni kuweka juhudi na kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa,

Hongera kwa Klabu ya Simba kwa ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya CS Sfaxien. 

Mmewapa mashabiki na Watanzania wote kwa ujumla burudani na furaha. Endeleeni kuweka juhudi na kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa,
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Kigwangalla anyang'anywa bastola na polisi; CCM Nzega yatishia kumvua uanachama, asema yupo tayari kuachia ubunge! | ow.ly/dp5lT