chogo (@lutermichael1) 's Twitter Profile
chogo

@lutermichael1

ease is a great threat to progress than hardship, so keep moving, keep growing, keep learning, keep striving and never give up🤝

ID: 922215774240104448

calendar_today22-10-2017 21:39:09

12,12K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ukiizunguka hii nchi ndio utaelewa jinsi gani kuna kikundi cha watu wachache wamegeuza hili taifa mali yao. Nchi inaumiza sana hii. #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kupost habari ya kuvamiwa kwa JAPHET MATARRA na watu wasiojulikana ndugu yetu John Nguti Chadema alikimbia Muhimbili kuenda kumuona. Wamejitahidi kwenye kumsaidia kupata huduma za kwanza. Na kuna baadhi ya bills wamelipia kama inavyoonekana Risiti hapo chini. Taarifa

Baada ya kupost habari ya kuvamiwa kwa <a href="/Eng_Matarra/">JAPHET MATARRA</a>  na watu wasiojulikana ndugu yetu <a href="/JohnNgutiCDM/">John Nguti Chadema</a>  alikimbia Muhimbili kuenda kumuona.

Wamejitahidi kwenye kumsaidia kupata huduma za kwanza. Na kuna baadhi ya bills wamelipia kama inavyoonekana Risiti hapo chini.

Taarifa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jimbo la RUNGWE rushwa zinatolewa kama njugu. Watu wamepewa 470k wagawane watu 71. Wamepewa mat-shirt BURE. Wamepewa 20k ya usafiri kila mmoja. Ndiomaana tunasema #NoReformsNoElection VIBAKA KAMA HAWA WANABIDI WAWE JELA. TUTAKUWEPO🫵😎

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao

Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Familia za “WACHOKONOZI” wametuomba watanzania tupaze SAUTI watoto wao wapatikane wakiwa HAI. Kama wana makosa wapelekwe MAHAKAMANI. Inaumiza sana aisee.💔😭

Familia za “WACHOKONOZI” wametuomba watanzania tupaze SAUTI watoto wao wapatikane wakiwa HAI. Kama wana makosa wapelekwe MAHAKAMANI.

Inaumiza sana aisee.💔😭
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LIMEPIGA MARUFUKU VIONGOZI WA KISERIKALI NA KISIASA KUALIKWA MBELE YA MADHABAHU/ALTAREN/MIMBARINI-KUSALIMIA,KUTOA NENO LA SHUKRANI AU KUSEMA CHOCHOTE. Kanisa Katoliki limepiga MARUFUKU viongozi wa KISERIKALI na KISIASA kualikwa mbele ya

KANISA KATOLIKI LIMEPIGA MARUFUKU VIONGOZI WA KISERIKALI  NA KISIASA KUALIKWA MBELE YA MADHABAHU/ALTAREN/MIMBARINI-KUSALIMIA,KUTOA NENO LA SHUKRANI AU KUSEMA CHOCHOTE.

Kanisa Katoliki limepiga MARUFUKU viongozi wa KISERIKALI na
KISIASA kualikwa mbele ya
Jessie J🌺 (@mrs_pappi) 's Twitter Profile Photo

Najivunia kuwawezesha vijana wengi kumiliki ARDHI Ni Fursa kupata KIWANJA kwa malipo ya kidogo kidogo ✨Mlandizi Ngeta -140,000 ✨Kigamboni Buyuni - 240,000 ✨Bagamoyo Mjini - 306,000 ✨Dodoma Chamwino-500,000 ✨Dodoma Nala-690,000 Nipigie; 0745124138

Najivunia kuwawezesha vijana wengi kumiliki ARDHI
Ni Fursa  kupata KIWANJA kwa malipo ya kidogo kidogo
✨Mlandizi Ngeta -140,000 
✨Kigamboni Buyuni - 240,000 
✨Bagamoyo Mjini - 306,000 
✨Dodoma Chamwino-500,000
✨Dodoma Nala-690,000
Nipigie; 0745124138
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 MWANAMKE Akiwa Anakutana Na Wanaume Kusuguliwa MBUNYE Na KINYEO Ni Asilimia Kubwa Sana. Kinachokupa FURAHA Kifanye Siri MKE Anatakiwa Kufichwa Kama BANGI Mwili Wa Mwanamke Unahitaji Sana STARA Ndio Maana Kwa Mwanaume Anayejielewa Hata MKE Wake Akienda Sokoni Anajistiri Anaacha

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Ukiona manzi anaenda kazini Kavaa Shanga- hamna mtu humo! Na kazini lazima itakua kuna kazi nyingine ya pili anaifanya💔 Shanga zinavaliwa tu chumbani- ukiwa na mwanaume wako- azichezeee atakavyo… Hapa ndio huwa manzi za TANGA Huwa wanawaacha mbaali🙌🏽🙌🏽🙌🏽

#TajiriLaKihaya 

Ukiona manzi anaenda kazini Kavaa Shanga- hamna mtu humo!

Na kazini lazima itakua kuna kazi nyingine ya pili anaifanya💔

Shanga zinavaliwa tu chumbani- ukiwa na mwanaume wako- azichezeee atakavyo…

Hapa ndio huwa manzi za TANGA Huwa wanawaacha mbaali🙌🏽🙌🏽🙌🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya #NoReformsNoElection 💯 Binafsi naona imeshafanya kazi kwa asilimia 60%. Tumeanzia Automatic Reforms ndani ya Chama kwanza… Na taratibu Maji Yamejitenga na Mafuta… Sasa Lissu Mwezi Ujao anatoka Gerezani tuendeleze gurudumu la Reforms nje ya chama