Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile
Maelezo News

@maelezonews

Ukurasa rasmi wa Serikali ya Tanzania kupitia Idara ya Habari -MAELEZO utakaokupatia habari za kila siku 🗓 /maelezo.go.tz 🔗

ID: 1103569071847530497

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today07-03-2019 08:12:24

6,6K Tweet

28,28K Followers

35 Following

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

MATUKIO KATIKA PICHA Kutoka Kawe Jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atakuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Kanisa la Arise and Shine la Mtume Boniface Mwamposa leo Julai 5, 2025.

MATUKIO KATIKA PICHA

Kutoka Kawe Jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atakuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Kanisa la Arise and Shine la Mtume Boniface Mwamposa leo Julai 5, 2025.
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua hema la Kanisa la Arise and Shine linaloongozwa na Mtume Boniface Mwamposa, Kawe Jijini Dar es Salaam leo Julai 5, 2025.

#UFUNGUZIWAKANISALAARISEANDSHINE Tuendelee kuliombea Taifa letu ili lidumu katika umoja, amani, utulivu na mshikamano kama tulivyo. Habari njema ni kwamba kumefanywa utafiti kutoka Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP), Tanzania ndio nchi ya kwanza katika Afrika Mashariki kwa utulivu

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#UFUNGUZIWAKANISALAARISEANDSHINE Dunia inabadilika sana tena kwa haraka, na kichocheo kikubwa cha mabadiliko haya ni TEHAMA, jinsi unavyoitumia ndivyo inavyobadilisha dunia. Inabadilisha dunia kwa mazuri na mabaya, kwa hiyo ni muhimu kutumia teknolojia kwa tahadhari ili tunufaike

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#UFUNGUZIWAKANISALAARISEANDSHINE Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu awamu zilizopita hadi Serikali ya Awamu ya Sita tunakwenda sambamba na taasisi za dini, tunatoa nguvu ya kutosha kwenye taasisi za dini zote ili watu wapate maneno ya Mungu na maamrisho yake ili

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia anasafiri kwenda Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango