WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII

@maendeleoyajami

Ukurasa rasmi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum S.L.P 573 Dodoma, Tanzania :Official page for MoCDGWSG

ID: 881852366605213697

linkhttp://jamii.go.tz calendar_today03-07-2017 12:29:23

7,7K Tweet

33,33K Followers

84 Following

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WAIPA KONGOLE SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI NCHINI. Na WMJJWM, Dodoma Viongozi wa Makundi ya Wafanyabiashara ndogondogo wameishukuru Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa juhudi za

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WAIPA KONGOLE SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI NCHINI.

Na WMJJWM, Dodoma

Viongozi wa Makundi ya Wafanyabiashara ndogondogo wameishukuru Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa juhudi za
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

NI WAKATI WA WAZAZI KUZUNGUMZA KWA UWAZI NA MABINTI KUHUSU HEDHI SALAMA - NAIBU WAZIRI MWANAIDI Na WMJJWM- Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Maendeleo Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwananidi Ali Khamis amesema kuna umuhimu wa wazazi kuzungumzia wazi kuhusu elimu

NI WAKATI WA WAZAZI KUZUNGUMZA KWA UWAZI NA MABINTI KUHUSU HEDHI SALAMA - NAIBU WAZIRI MWANAIDI 

Na WMJJWM- Dar Es Salaam

Naibu Waziri wa Maendeleo Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwananidi Ali Khamis amesema kuna umuhimu wa wazazi kuzungumzia wazi kuhusu elimu
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAPIGA HATUA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU: WAKILI MPANJU. Na WMJJWM- New York Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa

TANZANIA YAPIGA HATUA UTEKELEZAJI WA  MKATABA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU: WAKILI MPANJU.

Na WMJJWM- New York 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

RADIO JAMII WANOLEWA UANDISHI WA HABARI ZA USTAWI WA WATOTO NA VIJANA.  Waandaji Vipindi na watangazaji kutoka Radio Jamii za Tanzania bara na Visiwani wamepewa mafunzo ya namna ya kuandika habari za ustawi wa vijana na watoto, kupinga ukatili, afya ya uzazi na kupambana na

RADIO JAMII WANOLEWA UANDISHI WA HABARI ZA USTAWI WA WATOTO NA VIJANA. 

Waandaji Vipindi na watangazaji kutoka Radio Jamii za Tanzania bara na Visiwani wamepewa mafunzo ya namna ya kuandika habari za ustawi wa vijana na watoto, kupinga ukatili, afya ya uzazi na kupambana na
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

*#MatukioKatikaPicha* 14 Juni 2025 - Arusha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amefunguwa rasmi Kongamano la Tisa la Ununuzi wa Umma kwa mwaka 2025 linalowakutanisha wadau kutoka sekta za umma na binafsi kwa lengo la

*#MatukioKatikaPicha*

14 Juni 2025 - Arusha

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amefunguwa rasmi Kongamano la Tisa la Ununuzi wa Umma kwa mwaka 2025 linalowakutanisha wadau kutoka sekta za umma na binafsi kwa lengo la
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

ANNA MAKINDA ATAKA TAKWIMU ZITUMIKE KURATIBU HUDUMA KWA WAZEE NCHINI. Na WMJJWM- Shinyanga Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda amesema takwimu ni muhimu katika uratibu na utoajia wa huduma kwa wazee nchini. Makinda amesema hayo tarehe 14

ANNA MAKINDA ATAKA TAKWIMU ZITUMIKE KURATIBU HUDUMA KWA WAZEE NCHINI.

Na WMJJWM- Shinyanga

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda amesema takwimu ni muhimu katika uratibu na utoajia wa huduma kwa wazee nchini.

Makinda amesema hayo tarehe 14
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI ITAENDELEA KUWALINDA WAZEE- NAIBU WAZIRI MWANAIDI Na WMJJWMM-Shinyanga. Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali. Hayo

SERIKALI ITAENDELEA KUWALINDA WAZEE- NAIBU WAZIRI MWANAIDI

Na WMJJWMM-Shinyanga.

Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali.

Hayo
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

#Matukiokatikapicha Watoto wakionesha mavazi ya makabila mbalimbali ya Tanzania ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam Juni 17, 2025. #TulipotokaTuliponaTuendapo

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

#Matukiokatikapicha Matukiokatikapicha Viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam Juni 17, 2025. #TuipotokaTuliponaTuendapo #TuipotokaTuliponaTuendapo

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

#Matukiokatikapicha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025. Juni 17, 2025.

#Matukiokatikapicha 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025. Juni 17, 2025.
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

#Matukiokatikapicha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima na Katibu Mkuu Dkt. John Jingu na wadau wengine wakicheza mziki pamoja na Watoto na Msanii Whozzu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya

#Matukiokatikapicha 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima na Katibu Mkuu Dkt. John Jingu na wadau wengine wakicheza mziki pamoja na Watoto na Msanii Whozzu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII (@maendeleoyajami) 's Twitter Profile Photo

#Matukiokatikapicha Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu na akitoa salamu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam Juni 17, 2025.

#Matukiokatikapicha 

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu na akitoa salamu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2025 katika viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama Dar Es Salaam Juni 17, 2025.