Wizara ya Maji Tanzania (@maji_mowi) 's Twitter Profile
Wizara ya Maji Tanzania

@maji_mowi

Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira.

ID: 4491985821

linkhttp://www.maji.go.tz calendar_today15-12-2015 12:40:48

7,7K Tweet

47,47K Followers

133 Following

Wizara ya Maji Tanzania (@maji_mowi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) wakipongezwa na Wabunge mara baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) Jijini Kisumu, nchini Kenya.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) azindua Mradi wa Maji Hungumalwa wenye thamani ya Sh. bilioni 11, wilayani Kwimba, mkoa wa Mwanza.

Watalaamu kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora waanza rasmi mafunzo ya Uandaaji wa Daftari la Huduma za Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Maji, jijini Dodoma.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), zasaini mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa Uhifadhi wa Maeneo Oevu na Bioanuwai katika Kidakio cha Katuma, mkoani Katavi.

Serikali yakutana na ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Asasi ya Kimataifa ya Water Aid kuimarisha maendeleo ya Sekta ya Maji.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (MB) akiongea na wakurugenzi wa huduma kwa wateja wa mamlaka za maji katika kikao kazi jijini Mbeya. Mhe. Aweso akiwa mgeni rasmi katika kikao hicho ameambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri, pamoja na viongozi wengine

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ametembelea mabanda yanayoonesha hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali katika utunzaji wa mazingira, ikiwemo banda la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira pamoja na banda la Wizara ya Maji likihusisha taasisi mbalimbali

Msomera, wakazi watakiwa kulinda miundombinu ya mradi wa maji, kazi mbalimbali zikiendelea kufanyika ili kuimarisha huduma ya maji