Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila (@mamcmloganzila) 's Twitter Profile
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila

@mamcmloganzila

ID: 1007185017838145536

calendar_today14-06-2018 08:56:35

103 Tweet

3,3K Followers

43 Following

Jamii Health (@jamiihealth) 's Twitter Profile Photo

Jinsi ya kutunza afya ya akili •zungumzia hisia zako •Fanta mazoezi •kula vizuri •kunywa kwa kiasi •kaa karibu na unaowapenda •omba msaada ukihitaji •pumzika •fanya vitu unavyovimudu •jikubali na jitambue •wapende na kuwajali wengine #WorldMentalHealthDay2018

Jinsi ya kutunza afya ya akili
•zungumzia hisia zako
•Fanta mazoezi 
•kula vizuri
•kunywa kwa kiasi
•kaa karibu na unaowapenda
•omba msaada ukihitaji
•pumzika 
•fanya vitu unavyovimudu
•jikubali na jitambue 
•wapende na kuwajali wengine
#WorldMentalHealthDay2018
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila (@mamcmloganzila) 's Twitter Profile Photo

MEDICOUNTER- Je wajua kukoroma ni dalili za ugonjwa mkubwa zaidi? youtu.be/zJi0I3XsQEQ via YouTube Msikilize Daktari Bingwa wa upoasuaji wa Masikio, Pua, na Koo, Dr Dr. Godlove Mfuko kutoka Hospitali ya Mloganzila

Medical Association of Tanzania (MAT) (@association_mat) 's Twitter Profile Photo

Annual General Meeting(AGM) begins in Dodoma. Dr Obadia Nyongole, the 18th president of MAT is gracefully stepping down today #MATConferenceDodoma

Annual General Meeting(AGM) begins in Dodoma. Dr Obadia Nyongole, the 18th president of MAT is gracefully stepping down today #MATConferenceDodoma
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila (@mamcmloganzila) 's Twitter Profile Photo

Tunapenda kuutarifu Umma kuwa tunatafuta ndugu, jamaa na marafiki wa Ndugu huyu, alipokelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kama mgonjwa asiyefahamika tarehe 09 January 2019 kwa atakayemtambua anaweza kuwasiliana nasi kupitia namba 0745 626079

Upimaji wa Usikivu bila malipo umeanza leo Mach 2, 2019 katika Hospiytali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ambapo kauli mbiu ni "Chunguza Usikivu Wako( Check Your Hearing" yenye lengo kuhamasisha kila mmoja kuchukua hatua ya kufanyiwa uchunguzi wa usikivu wake.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewaagiza wataalamu wa Wizara ya Afya kuhakikisha kunakuwa na takwimu za kitaifa kuhusu hali ya usikivu nchini.

Vijana wakatoliki wafanyakazi (Viwawa) Parokia ya Kibamba Jijini Dar es salaam leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila na kushiriki matendo ya huruma ikiwemo zoezi la uchangiaji damu.

Aliyelazwa Mloganzila siku 210 aruhusiwa Mtoto Hillary Plasidius mwenye umri wa miaka 8 aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa muda wa miezi minane na wiki mbili aruhusiwa huku hospitali ikimsamehe gharama za matibabu na kumpatia msaada wa wheelchair

Aliyelazwa Mloganzila siku 210 aruhusiwa
 Mtoto Hillary Plasidius mwenye umri wa miaka 8 aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa muda wa miezi minane na wiki mbili aruhusiwa huku hospitali ikimsamehe gharama za matibabu na kumpatia msaada wa wheelchair