Mary Ndaro (@mary_ndaro) 's Twitter Profile
Mary Ndaro

@mary_ndaro

A multidisciplinary social scientist, land tenure and rights, transformative gender and policy analyst. Host and co-creator of Vavagaa Feminist show

ID: 999701580222955521

calendar_today24-05-2018 17:20:05

2,2K Tweet

1,1K Followers

994 Following

Mary Ndaro (@mary_ndaro) 's Twitter Profile Photo

Mwanake akiwa na pesa elimu kuzidi mimi hainiogopeshi ila namuona kama mwanamke shujaa. Sema yeye mwanamke anaweza hisi mimi nitaona ananidharau #vavagaamtaani UDADISI demere kitunga Vicensia Shule

Mwanake akiwa na pesa elimu kuzidi mimi hainiogopeshi ila namuona kama mwanamke shujaa.
Sema yeye mwanamke anaweza hisi mimi nitaona ananidharau #vavagaamtaani <a href="/Udadisi/">UDADISI</a> <a href="/demeredye/">demere kitunga</a> <a href="/vicensiashule/">Vicensia Shule</a>
Mary Ndaro (@mary_ndaro) 's Twitter Profile Photo

Vavagaa mtaani/ Street forum in which women and men mediate their different experiences and opinions on gender-related incidences in their everyday lives from which they also form a collective front on what to do to change/ challenge existing perceived normalcies UDADISI

Vavagaa mtaani/ Street forum in which women and men mediate their different experiences and opinions on gender-related incidences in their everyday lives from which they also form a collective front on what to do to change/ challenge existing perceived normalcies  <a href="/Udadisi/">UDADISI</a>
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo Samia ameenda kumwambia Kikwete kwamba anapigwa spana na Mzee Warioba Hivi Kikwete umeshindwa kumwambia Samia kwamba amevuka mipaka na ndio sababu ya kupewa hayo maoni Samia amepuuza maoni ya watu kila mara hata Maaskofu, vikosi kazi na Wanasiasa wametoa maoni, USA

Kwa hiyo Samia ameenda kumwambia Kikwete kwamba anapigwa spana na Mzee Warioba

Hivi Kikwete umeshindwa kumwambia Samia kwamba amevuka mipaka na ndio sababu ya kupewa hayo maoni 

Samia amepuuza maoni ya watu kila mara hata Maaskofu, vikosi kazi na Wanasiasa wametoa maoni, USA
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

I have received a disturbing and regrettable report from the President of the Law Society of Kenya (LSK), Adv. Faith Odhiambo, regarding the denial of entry into Tanzania of Advocates Gloria Kimani (LSK Council Member), Martha Karua, and Lyn Ngugi. These advocates were scheduled

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

sending love and solidarity to tundu lissu, his defense team and family as his bogus and trumped-up treason case resumes for hearing today. i also express fully support and sympathy for everyone persecuted for merely expressing interest in following up the proceedings ❤️✌🏾

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

hawa dickheads wanaoshangilia ukatili wa polisi dhidi ya "wageni" kwa jina la kulinda "nchi" yao ni hawa hawa wanao-condone, na hata ku-encourage, ukatili huu huu dhidi ya raia wenzao. hawa 'small' people hawajali nchi, ni watu waovu. they must be the unhappiest people on earth!

khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

.Chama Cha Mapinduzi kina wajibu wa kuwachunga wanachama na viongozi wake dhidi ya kauli zao za kifashisti na kijinai (atiwe mimba, wamalizwe, etc). chama kisicho na uwezo wa kuchunga watu wake hakina uwezo wa kuchunga raia. kauli hizi ni hatari na hazikubaliki, zinachochea ukatili.

Mary Ndaro (@mary_ndaro) 's Twitter Profile Photo

Nimetafakari huyu akirudi nyumbani hii kitu anaweza itetea kwa ujasiri huu? Tuendelee kujifunza jinsi wanawake wakiwa wanafaidika na mfumo uwe dume,Kimuundo,kidini nk nk...wana uwezo wa kuwa katili kuliko neno katili lenyewe

Mary Ndaro (@mary_ndaro) 's Twitter Profile Photo

Akili timamu wanazo...sasa hapo tujadili utimamu wa akili ni nini ma vigezo vyake. Wanajua wafanyacho...wakishamaliza kuhamasisha ukatili wanageuka waanze kuhubiri mwanamke stara