Master J (@masterjtz) 's Twitter Profile
Master J

@masterjtz

ID: 235301429

linkhttps://instagram.com/masterjtz calendar_today07-01-2011 21:11:30

3,3K Tweet

229,229K Followers

496 Following

Amo jay (@chibayaamos) 's Twitter Profile Photo

Moja ya project ilowahi kufanyika katika ufanisi wa hali ya juu saana katika mziki wa bongo flava basi "Nipe Nafasi" kutoka audio production,Melody na Rap ya Bwana Fareed K Kubanda Everything was on point. Kila ukiisikia utadhani imekua realised jana. Asante TID Master J MJ Records

#SalamaNa (@yahstonetown) 's Twitter Profile Photo

#NDUGUMHANDISI Huwa tunakaa mezani kuzungumza na ndugu, jamaa na marafiki zetu na Alhamisi hii tuko na NDUGU MHANDISI kwenye #SalamaNaMasterJay Salama Zalhata Jabir Master J tumejenga mengi utakayopata kupitia #maishamagicpoa on DStv (TZ) pekee! Dive IN! #SalamaNa #YahStoneTown #YST

#SalamaNa (@yahstonetown) 's Twitter Profile Photo

Alhamis ya leo katika meza ya #SalamaNaMasterJay tuko na #NDUGUMHANDISI ili kujua nini tumeyajenga,saa tatu kamili usiku tupia macho na masikio yako #maishamagicpoa ndani ya DStv (TZ) pekee! Salama Zalhata Jabir Master J LETS GET IT! #YahStoneTown #SalamaNa #YST #KawiaUfike

Johmakini (@johmakini) 's Twitter Profile Photo

If you know you know Master J kapitisha sasa wewe jitoe ufahamu! @weusiofficial x Amar S2kizzy =hitsOnly #RONALDO is out now link in my bio Njooni tumtag mpaka aone @cristiano @cristiano @cristiano It's a banger 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 instagram.com/p/CeV3Y3yKQpx/…

Makinikia (@askofutza) 's Twitter Profile Photo

Hii 40 Missed Call ya #Rapcha Chupa lake kali sana hii ni MOVIE 🔥.Nimependa Master J alivyovaa uhusika na Zaylissa. Kiukweli ni bonge la chupa. Haijamaliza hata Dakika 10 toka liwekwe youtube. Nenda kalichek. P-Funk Majani 🙌🏿 youtu.be/QKGuCJM_SU8?si…

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#BURUDANI Msanii wa HipHop Mex Cortez amenyoosha maelezo kuhusu Wakongwe wa muziki Master J na @fidq kuukubali uwezo wake kimuziki. #PlanetBongo #MasterJ #FidQ #HipHop

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi (@jabirsaleh) 's Twitter Profile Photo

ni kama unasikiliza wimbo tu kawaida na sio live,uzinifu tu kwa watoto umemuangusha ila huyu ni mwamba,Je mtumbuizaji wako bora unaangalia nini kwake? Cc Master J @kuvifacts