Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile
Maua Mazuri

@mauamazuri_tz

Our plant tissue culture laboratory generates disease-free seedlings with superior yields to E. Africa. We are modernizing Tanzania's Banana sector for all.

ID: 1295624645304098822

linkhttp://maua.mazuri.co.tz calendar_today18-08-2020 07:32:49

397 Tweet

404 Followers

137 Following

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

They say, in farming you don’t get what you deserve but what what you worked for! Dear farmer, how ready are you for this horticultural season? Karibu Maua Mazuri for superior vegetable seedlings at a very affordable price. Farm with confidence, farm with Maua Mazuri #farming

They say, in farming you don’t get what you deserve but what what you worked for! Dear farmer, how ready are you for this horticultural season? Karibu Maua Mazuri for superior vegetable seedlings at a very affordable price. Farm  with confidence, farm with Maua Mazuri
#farming
Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Most beautiful and delicious thing witnessed by the human eye is a BANANAAAA!! Want to increase your harvest and find the perfect market? We’ve got you covered—call us at +255 752 102 645! #banana #agriculture #farming

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Maua Mazuri Passion Fruits – Juicy, Fresh, and Full of Flavor! Passion fruit farming holds incredible potential in both local and international markets. Whether you're a small-scale farmer or looking to expand commercially, we’ve got covered! #Agriculture #farming

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Sasa ni rahisi kufanya Malipo ya bidhaa zetu kwa njia kuu mbili; LIPA NAMBA na BANK ACCOUNT. Karibuni sana wateja wetu, tuna wathamini kupita maelezo! #tissueculture #agriculture #farming

Sasa ni rahisi kufanya Malipo ya bidhaa zetu kwa njia kuu mbili; LIPA NAMBA na BANK ACCOUNT. Karibuni sana wateja wetu, tuna wathamini kupita maelezo!

#tissueculture #agriculture #farming
Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

What a mighty bunch! As we always say, where there is care, there is growth! Looking to invest in banana farming? Let’s grow together! Contact us to learn more about our premium tissue culture seedlings. Call; +255 752 102 645. Karibu sana

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Ndizi Matoke yenye afya! Mkulima kwa kuangalia haraka, unadhani sokoni itaenda kwa bei gani? Karibuni sana Maua Mazuri kujipatia miche bora ya migomba pamoja na elimu ya kitaalumu ya namna ya kuitunza migomba yako kwa matokeo bora. #farming #agriculture #kilimobiashara

Ndizi Matoke yenye afya! Mkulima kwa kuangalia haraka, unadhani sokoni itaenda kwa bei gani?

Karibuni sana Maua Mazuri kujipatia miche bora ya migomba pamoja na elimu ya kitaalumu ya namna ya kuitunza migomba yako kwa matokeo bora.

#farming #agriculture #kilimobiashara
Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

OFA! OFA! Miche 45 ya kimalindi kwa tsh 100,000 na ukiwa mteja wetu utapata fursa ya kushauriwa na mabwana shamba wetu pamoja na kutembelewa hadi shambani. Mkulima usilime kwa mazoea wakati jibu lako lipo Maua Mazuri. Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia namba 0752102645.

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale wanaojua ndizi, ukiangalia kwa haraka hii ni ndizi aina gani? Karibu sana Maua Mazuri ujipatie miche bora ya ndizi pamoja na ushauri wa kitaalamu wa maztunzo bora ya migomba! Kwa mawasiliano zaidi tupigie nambari 0752102645, Karibu sana! #kilimo #agriculture #bananas

Kwa wale wanaojua ndizi, ukiangalia kwa haraka hii ni ndizi aina gani? Karibu sana Maua Mazuri ujipatie miche bora ya ndizi pamoja na ushauri wa kitaalamu wa maztunzo bora ya migomba! Kwa mawasiliano zaidi tupigie nambari 0752102645, Karibu sana!

#kilimo #agriculture #bananas
Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Kwanini uridhike na mikungu midogo midogo na hasara kila mara shambani kwako? Ukitaka kufanya kilimo kwa ujasiri basi fanya chaguo sahihi kwanzia kwemye miche hadi kwenye utunzaji wa shamba. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0752102645.

Maua Mazuri (@mauamazuri_tz) 's Twitter Profile Photo

Hass Avocado (parachichi za muda mfupi) •Inaingia miche 160 kwa heka kwa umbali wa 5m x 5m •Mti mmoja una uwezo wa kukupa Parachichi hadi kufikia 500 ukizingatia utunzaji bora wa mti! Mavuno bora huanzia kwenye uchaguzi wa Miche bora! Karibuni sana! #avocado #Agriculture

Hass Avocado (parachichi za muda mfupi)
•Inaingia miche 160 kwa heka kwa umbali wa 5m x 5m
•Mti mmoja una uwezo wa kukupa Parachichi hadi kufikia 500 ukizingatia utunzaji bora wa mti!

Mavuno bora huanzia kwenye uchaguzi wa Miche bora! Karibuni sana!
 #avocado #Agriculture