MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile
MazaoHub

@mazaohub

🥇Best Agritech in Africa 2025 | Localized Soil Analytics, Precise input recommendation and data driven daily farm guide SaaS for smallholder farmers.

ID: 1495670593152294915

linkhttps://mazaohub.com calendar_today21-02-2022 08:04:16

2,2K Tweet

1,1K Followers

42 Following

Iwajoo_ (@iwajoo_) 's Twitter Profile Photo

From compliance in Kigali to AI-powered farming in Tanzania, Africa’s AI story is moving fast This week’s Iwajoo highlights: * African Export-Import Bank - Afreximbank #ACF2025 * Google, ITU, & Will.i.am’s AI training * MazaoHub raises $2M for AI farming Read more: bit.ly/4n6DqDD

From compliance in Kigali to AI-powered farming in Tanzania, Africa’s AI story is moving fast

This week’s Iwajoo highlights:
* <a href="/afreximbank/">African Export-Import Bank - Afreximbank</a> #ACF2025
* <a href="/Google/">Google</a>, ITU, &amp; Will.i.am’s AI training
* <a href="/mazaohub/">MazaoHub</a> raises $2M for AI farming

Read more: bit.ly/4n6DqDD
AfriTechInsights (@afritecinsights) 's Twitter Profile Photo

Tanzania's MazaoHub Bags $2M to Revolutionize Farming with AI Tanzania-based MazaoHub just scored $2 million in pre-seed funding to deploy AI tools that supercharge African agriculture, from crop predictions to market links for farmers. Tracking agtech across the continent, this

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni Agrovet, rahisisha biashara yako kwa teknolojia! Kupitia MazaoHub App, unaweza kufanya mauzo kidigitali, kupata ripoti papo hapo, na kufuatilia mwenendo wa stoo yako bila hata kuwa dukani kupitia simu yako ya mkononi. 📊📱 🌱 Rahisisha biashara yako leo kwa

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

💚 Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kutoka MazaoHub! Wiki ya Huduma kwa Wateja imetukumbusha jambo moja muhimu huduma bora hujengwa kwa upendo, uaminifu na kujituma kila siku. MazaoHub tunawashukuru sana wakulima wote kwa kuendelea kuwa nasi. Kila siku tunajitahidi kuhakikisha

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Kila siku tunajifunza kitu kipya kutoka kwa wakulima wetu kupitia changamoto, maoni na mafanikio yao. Kwa ushirikiano huu, tunazidi kuboresha huduma zetu za upimaji wa udongo, upatikanaji wa pembejeo bora, ushauri na huduma za ugani, pamoja na kuwapatia masoko ya uhakika. 🌾

Kila siku tunajifunza kitu kipya kutoka kwa wakulima wetu kupitia changamoto, maoni na mafanikio yao.

Kwa ushirikiano huu, tunazidi kuboresha huduma zetu za upimaji wa udongo, upatikanaji wa pembejeo bora, ushauri na huduma za  ugani, pamoja na kuwapatia masoko ya uhakika. 🌾
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Tukihitimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja Tunapenda kusema asante sana kwa wakulima wote mliotuamini na kushirikiana nasi kila siku. 🌾 MazaoHub ipo kwa ajili yenu kuhakikisha mnapata huduma bora zaidi: kutoka upimaji wa udongo, upatikanaji wa pembejeo bora, ushauri wa kitaalamu

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mfumo wa Ugani wa MazaoHub, muuza duka anaweza kusimamia kila bidhaa kuanzia mauzo, kupokea mzigo, hadi kudhibiti stoo bila usumbufu. Kila kitu kiko mkononi mwako, ndani ya App ya MazaoHub. 📲 Pakua MazaoHub leo na ufanye usimamizi wa duka lako kuwa kidigitali zaidi! 👉

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Heri ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere. “Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.” 🌾 Leo tunayaona maneno haya yakitimia mashambani, vijijini, na kwenye teknolojia mpya inayowainua wakulima kila siku. Urithi wake bado unaendelea kuota mizizi… na

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

MazaoHub tupo tayari kukuhudumia! Kupitia call center yetu, tunahakikisha kila mkulima, agrovet, na bwana shamba anapata msaada sahihi kwa wakati. 🌱 Wewe kama agrovet, umewahi kujiuliza ni jinsi gani unaweza kuwa karibu zaidi na wateja wako? Kupitia mfumo wa ugani wa MazaoHub,

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

MazaoHub, tunafungua mlango kwa maafisa ugani kutoka mikoa yote ya Tanzania kujiunga na mtandao wa MazaoHub 🤝. Ukiwa nasi, utapata fursa ya kuwahudumia wakulima kwa ukaribu zaidi, kujiongezea maarifa, na kujipatia kamisheni kutokana na huduma unazotoa. Kupitia teknolojia yetu

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Hatuishii tu kupanga soda 😅… tunashirikiana na kuwa karibu na wakulima wetu kila hatua! Kutoka kupima udongo, maandalizi ya shamba, hadi kufikia masoko tunakuwa pamoja kila hatua 🌱🤝 Pia, MazaoHub App inakuwezesha kupata huduma zote za kilimo: maarifa ya kilimo, kuagiza vifaa

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

“What does better agriculture look like to you?” We are reminded that better agriculture is practical and data guided when farmers use the right inputs at the right time, get real last mile support, access finance and have guaranteed demand. 🌱 That’s the kind of agriculture

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Sasa unaweza kupima udongo wako kabla ya kuanza msimu wa kilimo na kujua virutubisho vilivyopo shambani kwako. Ili kufanikisha hilo MazaoHub tumekuletea kifaa maalum cha kupima udongo ili kuhakikisha unapata taarifa sahihi kabla ya kuanza msimu kilimo. Karibu MazaoHub tukupimie

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

🧑🏽‍🌾 Agrovet, hii ni kwa ajili yako! Ukiwa out of stock, usipate presha kabisa 😌 Kupitia mfumo wetu wa MazaoHub sasa unaweza kuagiza bidhaa zako kutoka kwa Agrovet waliokaribu nawe au wasambazaji wakubwa na kufikishiwa mzigo mpaka dukani kwako kwa haraka na urahisi zaidi 🚚📦

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mfumo wa Ugani wa MazaoHub, sasa unaweza kupata taarifa zote muhimu kuanzia mauzo, manunuzi, matumizi, na ripoti zako zote, popote ulipo. Leo tunakuonyesha namna rahisi ya kuingia kwenye mfumo wa MazaoHub kupitia tovuti (app.mazaohub.co.tz) 🌐 ➡ Hata kama huna

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Msimu huu wa kilimo unapoanza, tungependa kukukumbusha mambo muhimu yatakayokusaidia kuongeza mavuno yako 👇 1️⃣ Pima udongo wako 2️⃣ Panda kwa wakati 3️⃣ Chagua aina bora ya mbegu Tuchukue hatua mapema, ili msimu huu uwe wa mafanikio zaidi! 🌾 📲 Pakua MazaoHub App leo ili

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Je unauza pembejeo za kilimo? MazaoHub app ipo kukurahisishia kazi yako kwa kukuwezesha kurekodi mauzo, manunuzi, na bidhaa zilizopo dukani popote ulipo na wakati wowote! 📲 Kupitia simu yako, au kwa kutumia kompyuta yako unaweza kufanya yote haya. Tembelea

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

📝 Bado unatumia karatasi na kalamu kuhifadhi taarifa zako? Sasa mambo yamebadilika! MazaoHub App inakuwezesha kuhifadhi na kufuatilia taarifa zako zote kidigitali kwa urahisi, haraka, na popote ulipo. 🌱 📲 Pakua App yetu sasa kupitia Playstore: 👉 play.google.com/store/apps/det…

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Habari mdau wa kilimo! Unafahamu kuwa sekta ya kilimo nchini Tanzania ni uti wa mgongo wa uchumi, ikiwajumuisha zaidi ya 65% ya Watanzania. Pamoja na mchango huu mkubwa, bado sekta hii inakabiliwa na changamoto kama ukosefu wa taarifa sahihi, masoko ya uhakika, mitaji, na uratibu

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

💻 Katika dunia ya teknolojia, software bora ni ile inayokupa taarifa sahihi ili uweze kufanya maamuzi yenye tija. Kupitia mfumo wa MazaoHub, unaweza kufuatilia kila kitu kuanzia mauzo, manunuzi, hadi mwenendo wa biashara yako yote moja kwa moja kupitia kompyuta yako.