
Mohamed Mchengerwa
@mchengerwa_m
MINISTER OF CULTURE,ARTS AND SPORT IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
ID: 830433174241026048
11-02-2017 15:07:52
157 Tweet
3,3K Followers
127 Following










Mwamko wa Kisiasa wa Maridhiano na Upendo, unaoasisiwa na Rais Samia Suluhu ,umepandisha kiwango cha Furaha Nchini Tz, Amani na maridhiano ,umeongeza matumaini ya wananchi kwa Serikali yao,uhuru na Demokrasia ni matunda ya urithi aliotuachia Baba wa Taifa,Mwl J.K.Nyerere










