Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile
Media Council

@mctanzania

ID: 833663760111898626

calendar_today20-02-2017 13:05:03

1,1K Tweet

1,1K Followers

140 Following

Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Dar Es Salaam: 10.04.2025: Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, ameshiriki katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza, Aidan Eyakuze na kumkaribisha Mkurugenzi mpya Anna Bwana.

Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeendelea kumuenzi aliyekuwa rais wa Baraza, Jaji Juxon Mlay, kwa mchango wake kwa MCT na tasnia ya habari. Jaji Mlay alifariki dunia Mei 2024, nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa MCT umetembelea familia yake na kuijulia hali.

Baraza la Habari Tanzania (MCT), kwa kushirikiana na wadau wa habari, Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Kituo cha Haki za Binanamu (LHRC), wameandaa mjadala, unaoshirikisha Bunge, kujadili Mfumo wa Kisheria na Wajibu wa Bunge Katika Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini.

Singida: 01 Mei, 2025: Sekretarieti ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini na Wakurugenzi, tunawapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kujumuika na wafanyakazi wote duniani, kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.

UNESCO Calls for Real Action on World Press Freedom Day mct.or.tz/realaction/ Michel Toto - UNESCO Representative to Tanzania

UNESCO Calls for Real Action on World Press Freedom Day

mct.or.tz/realaction/

Michel Toto - UNESCO Representative to Tanzania
Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Swiss Ambassador to Tanzania Highlights Importance of Human Touch in Journalism Amid Rising AI Influence mct.or.tz/humantouch/ Swiss Ambassador Nicole Providoli

Swiss Ambassador to Tanzania Highlights Importance of Human Touch in Journalism Amid Rising AI Influence

mct.or.tz/humantouch/

Swiss Ambassador Nicole Providoli
Media Council (@mctanzania) 's Twitter Profile Photo

Dar es Salaam: 12 Mei 2025: Wakuu wa taasisi 16 zinazo unda umoja wa wadau wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI), wamekutana kujadili nyaraka za utendaji, zikiwemo; Mpango Mkakati, Mkakati wa Mawasiliano na Makubaliano ya Kiutendaji (MoU).