
Mdude Nyagali
@mdudenyagali
Political Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. ๐น๐ฟ. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
ID: 1417391073253629953
https://bio.site/mdudenyagali 20-07-2021 07:49:19
7,7K Tweet
156,156K Followers
396 Following

Wakili msomi kutoka Amnesty Kenya mpiganaji Law & behold - Law_lad! ni moja ya winga tegemeo kwenye timu ya kupigania haki za binadamu na utawala bora ukanda huu wa Africa mashariki. Baada wa serikali ya Samia Suluhu kupitia polisi kuteka na kutesa watu mahakama ya Kisutu, Roland amefika na




Kwa hiyo Rais Samia Suluhu umetufikisha hapa? Kulipizana kisasi? Kwanini unatengeneza taifa la namna hii? Unataka watu wafike hatua ya kujitoa mhanga? Kwani urais huu umelazimishwa? Si unaweza kuachia ngazi aje Rais mwingine anayeweza kujenga mshikamano na umoja katika taifa?




Polisi Police Force TZ tangu jana usiku wamefika nyumbani kwa Tundu Lissu kufanya upekuzi, ndugu wa Lissu wamewakatalia kwamba wakitaka kufanya upekuzi lazima mwenye nyumba awepo. Fikiria hawa ni askari ambao wanajua sheria na wamekaa chuo pale CCP na wameenda kozi mbalimbali, lakini



"๐จ๐ป๐ฎ๐ท๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐ต๐๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ฝ๐ฎ๐น๐ฒ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐บ๐ฎ๐ต๐ฎ๐ธ๐ถ๐บ๐ & ๐บ๐ฎ๐ท๐ฎ๐ท๐ถ, ๐ธ๐๐ท๐ถ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ถ๐ธ๐ผ๐ป๐ผ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ป๐ด๐๐๐ ๐ธ๐๐น๐ถ๐ธ๐ผ ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ". - Lamar Smith.




Jeshi la polisi Police Force TZ mkoa wa Mbeya wanatafuta nyumba ninayoishi sijui wanataka kuja kutambika au kuniteka? Wamemuambia mmoja wa wanachama wetu kwamba tunaomba utuoneshe nyumba tu anayoishi Mdude tutakupa pesa. Alipowauliza ana kosa gani wamekwepa kusema. Yani wamefikia hatua

Utekaji na ukamataji holela wa wapinzani hauwezi kutunyamazisha kupaza sauti kwa unyama huu uliofanywa na polisi Police Force TZ . Mateso ambayo polisi mnatupa ni ya muda tu kwa kuwa mwaka huu kuna mabadiliko makubwa ya kiserikali. Tutakuwa na serikali mpya na kila askari kuanzia ngazi




Jeshi la polisi Police Force TZ limekaa kishabiki sana. Ukisoma hii press release waliyoitoa kwa umma wanadai father Kitima ameshambuliwa akiwa anapata kinywaji. Kantini hiyo ya TEC kuna vyakula pia lakini kwanini wameandika alienda kupata kinywaji na sio chakula? Lengo lao ni nini hapa?


Friends of Tundu Antiphas Lissu met on the sidelines of the Congress of the European People's Party @epp in Valencia and demanded his immediate and unconditional release. Tundu has now been detained for almost 3 weeks on baseless charges. #FreeTunduLissuNow


Kama polisi wanapotosha ni wazi kwamba wamepata taarifa hii kupitia chanzo kingine na sio kanisa ambalo lilikuwa na watu katika ofisi hizo za TEC. Sasa Muliro na Police Force TZ mtuambie taarifa za father Kitima kupata kinywaji na kwenda maliwato mmezitoa wapi? Je chanzo chenu
