MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile
MFA Tanzania

@mfa_tanzania

Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation

ID: 2341682708

linkhttp://www.foreign.go.tz calendar_today13-02-2014 09:21:45

7,7K Tweet

86,86K Followers

607 Following

Aga Khan University (@akuglobal) 's Twitter Profile Photo

We were honoured to host Ambassador Noel E. Kaganda, Director of Multilateral Cooperation for the Tanzanian Government, at the Aga Khan University (AKU) in Nairobi. He was accompanied by Ambassador Amin Mawji, Diplomatic Representative of the Aga Khan Development Network (AKDN)

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Profesa Kitila Alexander Mkumbo kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa ameongoza Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Uongozi ya Programu ya SADC-EU ya Amani na Usalama (SADC- EU Peace and Security Program) uliofanyika tarehe 17 Julai 2025, Dar es

TANZANIA TO HOST THE SADC MINISTERIAL COMMITTEE OF THE ORGAN ON POLITICS, DEFENSE AND SECURITY (MCO) MEETING IN DAR ES SALAAM

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA TO HOST THE SADC MINISTERIAL COMMITTEE OF THE ORGANON POLITICS, DEFENSE AND SECURITY (MCO) MEETING IN DAR ES SALAAM

TANZANIA TO HOST THE SADC MINISTERIAL COMMITTEE OF THE ORGANON POLITICS, DEFENSE AND SECURITY (MCO) MEETING IN DAR ES SALAAM
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO WA 27 WA KAMATI YA MAWAZIRI YA SADC YA MASUALA YA SIASA, ULINZI NA USALAMA KUFANYIKA TAREHE 21-25 JULAI 2025 JIJINI DAR ES SALAAM

MKUTANO WA 27 WA KAMATI YA MAWAZIRI YA SADC YA MASUALA YA SIASA, ULINZI NA USALAMA KUFANYIKA TAREHE 21-25 JULAI 2025 JIJINI DAR ES SALAAM
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO) unaofanyika nchini tarehe 21-25 Julai,2025 umeanza katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Akifungua

Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO) unaofanyika nchini tarehe 21-25 Julai,2025 umeanza katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Akifungua
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAIPONGEZA CANADA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Canada kwa jitihada zake za kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ikiwemo miradi ya elimu na maendeleo ya rasilimali watu. Hayo yamebainishwa na Waziri wa

TANZANIA YAIPONGEZA CANADA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Canada kwa jitihada zake za kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo nchini ikiwemo miradi ya elimu na maendeleo ya rasilimali watu. 

Hayo yamebainishwa na Waziri wa

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU SHERIA ZA BIASHARA ZA KIMATAIFA Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  Mhe. Hamza Saidi Johari anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Kikao cha 58 cha Tume ya Umoja wa Mataifa ya Sheria za

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU SHERIA ZA BIASHARA ZA KIMATAIFA 

Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  Mhe. Hamza Saidi Johari anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Kikao cha 58 cha Tume ya Umoja wa Mataifa ya Sheria za
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

BALOZI KAMBANGA AWAKARIBISHA WAJUMBE WA TANZANIA NCHINI RWANDA Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, amekutana na kuukaribisha rasmi ujumbe wa Tanzania uliowasili jijini Kigali kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya

BALOZI KAMBANGA AWAKARIBISHA WAJUMBE WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, amekutana na kuukaribisha rasmi ujumbe wa Tanzania uliowasili jijini Kigali kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Imeendelea Kuongoza Juhudi za Kudumisha Amani, Usalama na Ushirikiano wa kisiasa SADC- Balozi Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema Tanzania imeendelea kuongoza juhudi za kudumisha amani, usalama na

Tanzania Imeendelea Kuongoza Juhudi za Kudumisha Amani, Usalama na Ushirikiano wa kisiasa SADC- Balozi Kombo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema Tanzania imeendelea kuongoza juhudi za kudumisha amani, usalama na
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAONESHA DHAMIRA YA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA RWANDA KUPITIA MKUTANO WA 16 WA JPC Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeonesha dhamira thabiti ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano na Jamhuri ya Rwanda kupitia Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano

TANZANIA YAONESHA DHAMIRA YA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA RWANDA KUPITIA MKUTANO WA 16 WA JPC

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeonesha dhamira thabiti ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano na Jamhuri ya Rwanda kupitia Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI BASHUNGWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KTK MKUTANO WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (AU) Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wanachama wa

WAZIRI BASHUNGWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KTK  MKUTANO WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (AU)

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wanachama wa
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO WA 16 WA TUME YA KUDUMU YA PAMOJA KATI YA TANZANIA NA RWANDA WAANZA RASMI KIGALI Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission – JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umeanza rasmi leo tarehe 24 Julai

MKUTANO WA 16 WA TUME YA KUDUMU YA PAMOJA KATI YA TANZANIA NA RWANDA WAANZA RASMI KIGALI

Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission – JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umeanza rasmi leo tarehe 24 Julai
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

BALOZI MUSSA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika ofisi

BALOZI MUSSA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika ofisi