wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile
wizarayamifugonauvuvi

@mifugonauvuvi

Ukurasa rasmi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambao unalenga kukufahamisha kuhusu matukio mbalimbali yanayofanywa Wizarani hapo.

ID: 1868180316843573248

calendar_today15-12-2024 06:24:49

100 Tweet

34 Followers

3 Following

wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji Leo Mei 06, 2025 Kuanzia Saa 7: 30 Mchana atakuwa na mkutano wa Waandishi wa Habari kuelezea mafanikio ya miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu sita inayoongozwa na Mhe. @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

“ Tunakwenda kuhitimisha kununua Meli nane zitakazohudumu huku kwetu Bara na kule Zanzibar, tunaka na sisi tukavue kwenye eneo letu la Bahari kuu “ Mhe. Dkt. @ashatukijaji - Waziri wa Mifugo na Uvuvi #uvuviniutajiri #kazinaututunasongambele #kaziinaendelea

wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

AZMA YA DKT. SAMIA KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI IMETIMIA-DKT KIJAJI Na Omary Mtamike, WMUV Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetekeleza kwa vitendo

AZMA YA DKT. SAMIA KWENYE SEKTA ZA UZALISHAJI IMETIMIA-DKT KIJAJI

Na Omary Mtamike, WMUV
Dodoma

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetekeleza kwa vitendo
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

RAIS CHAPO AHIMIZA USHIRIKIANO ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI BAHARI KUU Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Fransisco Chapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana baina ya Tanzania na Msumbiji katika usimamizi wa rasilimali za uvuvi wa bahari kuu ikiwa ni pamoja na

RAIS CHAPO AHIMIZA USHIRIKIANO ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI BAHARI KUU

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Fransisco Chapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana baina ya Tanzania na Msumbiji katika usimamizi wa rasilimali za uvuvi wa bahari kuu ikiwa ni pamoja na
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

NIGERIA YAVUTIWA NA MPANGO KABAMBE WA MIFUGO TANZANIA Na Chiku Makwai- WMUV Dodoma. Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo ya nchini Nigeria ikiongozwa na Mkurugenzi Mratibu wa Programu za Kitaifa wa Wizara hiyo, Dkt. Ishiyaku Mohammed imeonesha kuvutiwa na

NIGERIA YAVUTIWA NA MPANGO KABAMBE WA MIFUGO TANZANIA 

Na Chiku Makwai- WMUV 
Dodoma.

Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo ya nchini Nigeria ikiongozwa na Mkurugenzi Mratibu wa Programu za Kitaifa wa Wizara hiyo,  Dkt. Ishiyaku Mohammed imeonesha kuvutiwa na
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YAWATAKA WAVUVI KUSALIMISHA ZANA HARAMU ZA UVUVI Na. Stanley Brayton, WMUV Nkasi, Rukwa Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), imewataka wavuvi wote nchini, ambao si waaminifu, kusalimisha zana zao za uvuvi haramu kwa hiari yao wenyewe badala ya kusubiri

SERIKALI YAWATAKA WAVUVI KUSALIMISHA ZANA HARAMU ZA UVUVI

Na. Stanley Brayton, WMUV
Nkasi, Rukwa

Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), imewataka wavuvi wote nchini, ambao si waaminifu, kusalimisha zana zao za uvuvi haramu kwa hiari yao wenyewe badala ya kusubiri
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Mvuvi wa Mandakerenge Ziwa Tanganyika , Bw. Juma Yahya, akituma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt.@ashatukijaji. #uvuviharamuutapotezautajiri #uvuviniutajiri #uzalendokwanza

wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

MAADHIMISHO YA SIKU YA PUNDA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI DODOMA. Na Chiku Makwai-WMUV. Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali inatarajia kuadhimisha Siku ya Punda Kitaifa Mei 17, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma

MAADHIMISHO YA SIKU YA PUNDA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI DODOMA.

Na Chiku Makwai-WMUV.

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali inatarajia kuadhimisha Siku ya Punda Kitaifa Mei 17, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. @ashatukijaji anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Punda Kitaifa, yatakayofanyika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma Kesho Mei 17, Mwaka 2025. Kaulimbiu ya Mwaka huu; “Mlinde Punda kwa Faida ya Leo na Kesho” #mlindepunda

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. @ashatukijaji  anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Punda Kitaifa, yatakayofanyika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma Kesho Mei 17, Mwaka 2025.

Kaulimbiu ya Mwaka huu; “Mlinde Punda kwa Faida ya Leo na Kesho”

#mlindepunda
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

MAFUNZO YA WATAALAM WA AFYA YA MIFUGO KIMATAIFA YAZINDULIWA Na Chiku MAKWAI - WMUV Dar es Saalam Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imezindua rasmi mradi wa mafunzo kwa wataalamu wa afya ya mifugo, yanayofanyika katika nchi nne za Tanzania, Botswana, Zambia na Malawi.

MAFUNZO YA WATAALAM WA AFYA YA MIFUGO KIMATAIFA YAZINDULIWA

Na Chiku MAKWAI - WMUV
Dar es Saalam

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imezindua rasmi mradi wa mafunzo kwa wataalamu wa afya ya mifugo, yanayofanyika katika nchi nne za Tanzania, Botswana, Zambia na Malawi.
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

WAFUGAJI WAHIMIZWA KUMTUNZA MNYAMA PUNDA Na Chiku Makwai - WMUV Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Abdul Mhinte amesema ni wajibu wa kila mfugaji punda kumtunza mnyama huyo kwani anahaki kama ilivyo kwa wanyama wengine, ikiwemo haki ya kutolala njaa,

WAFUGAJI WAHIMIZWA KUMTUNZA MNYAMA PUNDA

 Na Chiku Makwai - WMUV

Naibu  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Abdul Mhinte amesema ni wajibu wa kila mfugaji punda kumtunza mnyama huyo kwani anahaki kama ilivyo kwa wanyama wengine, ikiwemo haki ya kutolala njaa,
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Usikose Kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti yetu Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka 2025 / 2026. #hotubayamifugonauvuvi #mifugonauvuviniutajiri #kazinaututunasongambele #kaziiendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Usikose Kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti yetu Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka 2025 / 2026.

#hotubayamifugonauvuvi
#mifugonauvuviniutajiri
#kazinaututunasongambele 
#kaziiendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti (wa pili kushoto), akiwa na timu ya Wataalamu kutoka Wizarani, kukagua zoezi la usafishaji wa Magugu Maji kwenye daraja la Kigongo Busisi lililopo Ziwa Victoria, Mei 19, 2025 Mwanza, wa pilia kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara

BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI LAUNDWA Na Chiku Makwai – WMUV Baraza jipya la wafanyakazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi limeundwa kwa lengo la kuwashirikisha wafanyakazi wa Wizara hiyo katika utekelezaji wa shughuli za Serikali na ushirikiano,

BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI LAUNDWA 

Na Chiku Makwai – WMUV

Baraza jipya la wafanyakazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi limeundwa kwa lengo la kuwashirikisha wafanyakazi wa Wizara hiyo katika utekelezaji wa shughuli za Serikali na ushirikiano,
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Usikose Kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti yetu Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka 2025 / 2026. #hotubayamifugonauvuvi #mifugonauvuviniutajiri #kazinaututunasongambele #kaziiendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Usikose Kufuatilia Uwasilishaji wa Bajeti yetu Mifugo na Uvuvi kwa Mwaka 2025 / 2026.

#hotubayamifugonauvuvi
#mifugonauvuviniutajiri
#kazinaututunasongambele 
#kaziiendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YAANZA ZOEZI LA KULINDA MAZALIA YA SAMAKI ZIWA VICTORIA Na. Stanley Brayton, WMUV- Mwanza Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), imezindua Rasmi zoezi la kulinda Mazalia ya Samaki kwa kuweka maboya 32 kwenye mipaka ya maeneo maalumu yaliotengwa, kama

SERIKALI YAANZA ZOEZI LA KULINDA MAZALIA YA SAMAKI ZIWA VICTORIA

Na. Stanley Brayton, WMUV- Mwanza

Serikali, kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), imezindua Rasmi zoezi la kulinda Mazalia ya Samaki kwa kuweka maboya 32 kwenye mipaka ya maeneo maalumu yaliotengwa, kama
wizarayamifugonauvuvi (@mifugonauvuvi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 23, Bungeni jijini Dodoma.