Desdery Moses (@mosesdesdery) 's Twitter Profile
Desdery Moses

@mosesdesdery

Meteorologist @tma_services
I Weather ⛈️ | Climate 🌡 | Energy ☀️
I @CYNESA Country Director for Tanzania

ID: 533617745

calendar_today22-03-2012 23:11:07

2,2K Tweet

593 Followers

878 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Natimiza wajibu kuwaletea hili tangazo kwa wakatoliki wenzangu!‼️ Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara kwa Unyenyekevu Anakukaribisha ewe Mkristo Mkatoliki na Yeyote Mwenye Mapenzi Mema kushiriki katika Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kanisa Kuu

‼️Natimiza wajibu kuwaletea hili tangazo kwa wakatoliki wenzangu!‼️
Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara kwa Unyenyekevu Anakukaribisha ewe Mkristo Mkatoliki na Yeyote Mwenye Mapenzi Mema kushiriki katika Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kanisa Kuu
Desdery Moses (@mosesdesdery) 's Twitter Profile Photo

Great to be back home in Tanga & contribute to climate resilience! 🌍💙 As a Tanzania Meteorological Authority facilitator in the CoCHAP training, I engaged with key stakeholders on impact-based forecasting & early warnings for extreme heat & coastal threats. Ofisi ya Waziri Mkuu linkedin.com/posts/dessyder…

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

UNDER LICENCE ni Mfumo wa biashara ambapo kampuni mama (Licensor) inaipa kampuni ingine (Licensee) HAKI ya kutumia BRAND au bidhaa fulani, lakini bila DIRECT REGULATIONS za jinsi biashara inaendeshwa. Sifa Kuu za Underlicence: ✅ UANGALIZI MDOGO – Licensee ana uhuru mkubwa wa

Desdery Moses (@mosesdesdery) 's Twitter Profile Photo

Kiwango cha juu zaidi cha joto🌡️kinatarajiwa kufikia nyuzi joto 35 katika mikoa ya Kilimanjaro na Morogoro. Hata hivyo, vipindi vya ukavu bado vinatarajiwa kuendelea kushamiri katika maeneo mengi hapa nchini na hali ya bahari ikitarajiwa kuwa na mawimbi madogo. #WeatherUpdate

Tanzania Meteorological Authority (@tma_services) 's Twitter Profile Photo

📢 🌀The Tanzania Meteorological Authority (TMA) has issued information about the presence of Tropical Cyclone "JUDE" over the Indian Ocean in the Mozambique Channel. 🌀TMA inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “JUDE” katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. #tma #jude

Desdery Moses (@mosesdesdery) 's Twitter Profile Photo

As we celebrate #WorldMeteorologicalDay I reflect on the importance of early warnings like those for Tropical Cyclone Chido. While cyclones can impact many, timely information can reduce their effects. Let’s keep closing the early warning gap to protect lives #earlywarningsforall

#LaudatoSi (@ottaroa) 's Twitter Profile Photo

From Ununio to Kunduchi, from #Mbezi Beach in #DaresSalaam to Pangani in northern #Tanga, families tell the same story. Saltwater intrusion—the silent disaster—is transforming once-thriving neighborhoods into ghost towns. Desdery Moses ipsnews.net/2025/03/the-oc…

Tanzania Meteorological Authority (@tma_services) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela (NM-AIST) wamesaini hati ya ushirikiano ya kufanya tafiti za pamoja katika masuala ya sayansi ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi na kujengeana uwezo.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela (NM-AIST) wamesaini hati ya ushirikiano ya kufanya tafiti za pamoja katika masuala ya sayansi ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi na kujengeana uwezo.
Desdery Moses (@mosesdesdery) 's Twitter Profile Photo

"Small yet strong in the love of God, like the mustard seed, each person’s small actions – even those of young people – can be a spark for real change.” – Laudato Si’, §211

#LaudatoSi #LaudateDeum #Jubilee2025 (@cynesa) 's Twitter Profile Photo

CYNESA #Tanzania, #Dodoma sector,participated in the #PalmSunday #Youth Mass at St. Gaspar del Bufalo Parish in Makole. Auxiliary Bishop Wilbroad Henry Kibozi graced the event. CYNESA Tanzania Country Director Desdery Moses introduced him to our organization's mission. #LaudatoSi

CYNESA #Tanzania, #Dodoma sector,participated in the #PalmSunday #Youth Mass at St. Gaspar del Bufalo Parish in Makole. Auxiliary Bishop Wilbroad Henry Kibozi graced the event. CYNESA Tanzania Country Director <a href="/mosesdesdery/">Desdery Moses</a> introduced him to our organization's mission. #LaudatoSi
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Easter is more than a holiday, it is a promise that no matter how heavy the cross we carry, there is always resurrection on the other side. Stay hopeful. Happy Easter to you and your families.