Mr papilo (@mrpapilo_junior) 's Twitter Profile
Mr papilo

@mrpapilo_junior

Strong men belives in cause and effects.
โค

ID: 1411373234839293954

calendar_today03-07-2021 17:16:59

112 Tweet

114 Followers

103 Following

Cosmas Edward ๐Ÿ’ซ (@edwardcosmas) 's Twitter Profile Photo

Ajabu nyingine ni pamoja na kuwa watu muhimu katika maisha huwa hawaombi sana muda wako, lakini wakitoweka, utatamani ungewapa hata sekunde kumi zaidi. Usi sahau kuwajali watu wako wa mhimu!

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa Bwana; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani. Yeremia 29:7

The ChandO (@sadicktusia) 's Twitter Profile Photo

Kile unachokipitia katika safari ya kuifikia ndoto yako โ€œMCHAKATOโ€ ni muhimu zaidi kuliko ndoto yenyewe. Kwasababu mchakato ndio umebeba uhalisia wa ndoto yakoโœŠ

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke ambaye ameshakua na wanaume wengi kabla ya kuwa na wewe.. Ikitokea mmeachana, kwake ni rahisi sana kupata mwanaume mwingine..

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya Bwana. Amosi 8:11

Masterplan๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@master_plan7) 's Twitter Profile Photo

Hii Generation kazi sana Kuna Dada Nilimbeba Kwenye Pikipiki Anajisifia eti mi Nina Wanaume Wa 2 Kijana wa Kunipa Mapenzi na Mbaba Wa Kunipa Pesa Eti vijana Mkiombwa Hela kila siku Hamna Acha Wababa Wawasaidie.๐Ÿค”

MADOPE๐ŸŒพ (@ugeniaconso) 's Twitter Profile Photo

"Nipo kwa rafiki angu babe , Leo nitalala hukuhuku kesho asubuhi naenda home afu wewe tutaonana jioni" nawe ulivo msenge unaitikia "nyaya nyawa" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚