John Jackson tz (@msanuaji) 's Twitter Profile
John Jackson tz

@msanuaji

Journalist

ID: 836454507978633217

linkhttps://youtu.be/0gC7WvPifkY?si=zEmsr_LCS_IM-2Xj calendar_today28-02-2017 05:54:30

474 Tweet

4,4K Followers

275 Following

John Jackson tz (@msanuaji) 's Twitter Profile Photo

Vijana tunakula sana korosho ndio maana tunapata watoto wenye roho za korosho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #Ghettopodcast ipo YouTube link kwenye bio hapo juu!

John Jackson tz (@msanuaji) 's Twitter Profile Photo

Sahau kuhusu kolabo ya Rapcha na Dizasta Vina ๐Ÿค”๐Ÿ˜„, Full Interview ipo Youtube link kwenye Bio hapo juu! #Ghettopodcast

John Jackson tz (@msanuaji) 's Twitter Profile Photo

Mwana Obby Alpha anastori kali sana, Episode yake ipo YouTube Link kwenye bio na unaweza kuisikiliza kupitia Spotify, ApplePodcast ๐ŸŽง #GhettoPodcast

yapopah๐ŸŽญ (@nehemiah_022) 's Twitter Profile Photo

Kuna Drip check Moja ya Malaika, ukiachana na yote, pale alipoulizwa Mara ya Mwisho kudrip akapendeza ni 5M afu hua apendelei kuongea, kimoyomoyo nikajisemea inabidi John Jackson tz aanze kutusanua na Drip check za matajiri, Kuna kitu naamini tutajifunza.

JKT Tanzania (@jkt_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye drip check na Msanuaji John Jackson ๐Ÿงฅ๐Ÿ˜… JKT Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tupo vizuri ndani na nje ya uwanja๐Ÿ’ช #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo

Karibu kwenye drip check na Msanuaji John Jackson ๐Ÿงฅ๐Ÿ˜…

JKT Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tupo vizuri ndani na nje ya uwanja๐Ÿ’ช

#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo