Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile
Muhimbili University

@muhimbiliuniver

Core Functions: Training, Research and Consultancy Services

ID: 3385702576

linkhttp://www.muhas.ac.tz calendar_today21-07-2015 09:41:35

2,2K Tweet

32,32K Followers

195 Following

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Appolinary Kamuhabwa, leo amezindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Chuo, kabla ya kuanza kwa Kikao cha 23 cha Baraza la Wanyakazi kilichofanyika katika kampasi ya Muhimbili.

📆 7 days left untill 13th MUHAS Scientific Conference ✍🏻 Get Ready for Groundbreaking, Research, Networking and Inspiration #CountDownToScience

📆 7 days left untill 13th MUHAS Scientific Conference

✍🏻 Get Ready for Groundbreaking, Research, Networking and Inspiration

#CountDownToScience
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

We are honored to host Dr. Nyanda Elias, Director of Research Coordination and Promotion -NIMR as a keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference 📅 18th June 2025 ⏰ 12:00 Hrs 📍MUHAS, Mloganzila Campus #ScientificExcellence #Keynote2025

We are honored to host  Dr. Nyanda Elias,  Director of Research Coordination and Promotion -NIMR  as a keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference

📅 18th June 2025

⏰ 12:00 Hrs 
📍MUHAS, Mloganzila Campus  

#ScientificExcellence #Keynote2025
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

MUHAS is now accepting late applications for Postgraduate Degree Programmes for 2025/2026! 📅 Deadline: 30th June 2025 🔗Apply Now: pgoas.muhas.ac.tz/login For more info: +255715274337 / +255784855191 Website: muhas.ac.tz #MUHAS #PostgraduateStudies #ApplyNow

MUHAS is now accepting late applications for Postgraduate Degree Programmes  for 2025/2026!

 📅 Deadline: 30th June 2025
 🔗Apply Now: pgoas.muhas.ac.tz/login

 For more info: +255715274337 / +255784855191
 Website: muhas.ac.tz

#MUHAS #PostgraduateStudies #ApplyNow
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

✍ Just 06 Days to go!! Get ready to explore groundbreaking research and connect with minds at 13th MUHAS Scientific Conference #ResearchMatters#CountdownToConference

✍ Just 06 Days to go!! Get ready to explore groundbreaking research and connect with minds at 13th MUHAS Scientific Conference

#ResearchMatters#CountdownToConference
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

We are honored to host Dr. Karima Khalid, POETIC - MUHAS as keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference 📅 19th June 2025 ⏰ 09:00 am 📍MUHAS, Mloganzila Campus #ScientificExcellence #Keynote2025

We are honored to host Dr. Karima Khalid, POETIC - MUHAS as keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference

📅 19th June 2025

⏰ 09:00 am

📍MUHAS, Mloganzila Campus

#ScientificExcellence #Keynote2025
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

We are honored to host Prof. Tim Baker, POETIC - MUHAS as keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference 📅 19th June 2025 ⏰ 09:00 am 📍MUHAS, Mloganzila Campus #ScientificExcellence #Keynote2025

We are honored to host Prof. Tim Baker, POETIC - MUHAS as keynote speaker at 13TH MUHAS Scientific Conference

📅 19th June 2025

⏰ 09:00 am

📍MUHAS, Mloganzila Campus

#ScientificExcellence #Keynote2025
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

✍ Just 05 Days to go!! Get ready to explore groundbreaking research and connect with minds at 13th MUHAS Scientific Conference #Research Matters#CountdownToConference

✍ Just 05 Days to go!! Get ready to explore groundbreaking research and connect with minds at 13th MUHAS Scientific Conference

#Research Matters#CountdownToConference
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

📢 Only 2 Days to Go! Join us for the 13th MUHAS Scientific Conference happening on June 18–19, 2025 at the MUHAS Mloganzila Campus. We are honored to welcome the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa, as our Guest of Honor.

📢 Only 2 Days to Go!

Join us for the 13th MUHAS Scientific Conference happening on June 18–19, 2025 at the MUHAS Mloganzila Campus.

We are honored to welcome the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa, as our Guest of Honor.
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

🥳 KARIBU KWENYE KONGAMANO LA 13 LA KISAYANSI LA MUHAS Tukio linalowaleta pamoja watafiti, wanasayansi na wavumbuzi kutoka kila pembe ya dunia🌎 Usikose fursa hii adhimu ya kushiriki: 📆 18 mpaka 19 Juni, 2025 📍MUHAS , Kampasi ya Mloganzila ⏰ 2:30 Asubuhi

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Invitation to the 13th MUHAS Scientific Conference- Dr. Nyanda Elias, Director of Research Coordination and Promotion - NIMR 📅 18th to 19th June 2025 📍 MUHAS, Mloganzila Campus ⏱ 08: 30 am #MUHASScientificConferene2025#HealthInnovation#GlobalHealh#ResearchMatters#MUHAS

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Only 1 Day to Go! Join us for the 13th MUHAS Scientific Conference happening on June 18–19, 2025 at the MUHAS Mloganzila Campus We are honored to welcome the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa, as our Guest of Honor.

Only 1  Day  to Go!

Join us for the 13th MUHAS Scientific Conference happening on June 18–19, 2025 at the MUHAS Mloganzila Campus

We are honored to welcome the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Kassim Majaliwa Majaliwa, as our Guest of Honor.
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbil ( MUHAS), Prof. Appolinary Kamuhabwa akielezea madhumuni ya Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS lililofunguliwa leo tarehe 18 Juni 2025 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo- Tafiti na Ushauri wa Kiutaalamu, Prof.Bruno Sunguya akielezea mawasilisho ya tafiti yanayotarajiwa kuwasilishwa katika Kongamano la 13 la Kisayansi la MUHAS linalofanyika kwa siku mbili kuanzia leo tarehe 18 hadi 19 Juni 2025, Kampasi ya Mloganzila

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Prof. Daniel Mushi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akielezea umuhimu wa Kongamano la 13 La Kisayansi la MUHAS linalofanyika kwa siku mbili kuanzia leo tarehe 18 hadi 19 Juni 2025 katika Kampasi ya Mloganzila.

Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

“Kongamano hili ni muhimu sana kwa sababu linatoa nafasi kwa wataalamu wa afya, wanasayansi, na wadau mbalimbali kuwasilisha matokeo ya tafiti zao na kushirikishana maarifa yatakayosaidia kuboresha mifumo ya afya nchini,” alisema Mhe. Majaliwa. #KongamanolaKisayansiMUHAS

“Kongamano hili ni muhimu sana kwa sababu linatoa nafasi kwa wataalamu wa afya, wanasayansi, na wadau mbalimbali kuwasilisha matokeo ya tafiti zao na kushirikishana maarifa yatakayosaidia kuboresha mifumo ya afya nchini,” alisema Mhe. Majaliwa.

#KongamanolaKisayansiMUHAS
Muhimbili University (@muhimbiliuniver) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa awataka watafiti na wapangaji wa sera kuwekeza katika tafiti zenye tija kwa wananchi na matokeo ya tafiti hizo yatumike kutengeneza sera na mipango ya utekelezaji yenye kuleta mabadiliko katika jamii. #Kongamanola13laSayansi #MUHAS #18Juni25