Mustafa Hassanali (@mustafahasanali) 's Twitter Profile
Mustafa Hassanali

@mustafahasanali

γ€Šr €@tΒ‘v€ πŸ§πŸΏβ€β™‚οΈ

ID: 18048587

calendar_today11-12-2008 14:51:03

30,30K Tweet

75,75K Followers

910 Following

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewapongeza wajumbe wa Tanzania waliowasili jijini Kigali, Rwanda

WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewapongeza wajumbe wa Tanzania waliowasili jijini Kigali, Rwanda
January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Authentication is key to our daily social and official/business transactions. We’ve come to rely on technology and primordial instincts to verify things. Artificial Intelligence, with all its benefits, will bring about almost incurable fraud crisis, per Sam Altman CEO of OpenAI.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

π—žπ—¨π—›π—¨π—¦π—¨ 𝗠𝗔π—₯π—˜π—žπ—˜π—•π—œπ—¦π—›π—’ π— π—”π——π—’π—šπ—’ 𝗬𝗔 π—žπ—”π—§π—œπ—•π—” Katibu wa NEC,Oganaizesheni Ndugu. Issa Gavu, akieleza baadhi ya vifungu vya katiba ambapo marekebisho madogo yanatarajiwa kufanyika kutokana na maoni ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum unaofanyika leo 26/07/2025

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ— π—œπ—” 99.8 π—ͺπ—”π—π—¨π— π—•π—˜ π—ͺπ—”π— π—˜π—₯π—œπ——π—›π—œπ—” 𝗠𝗔π—₯π—˜π—žπ—˜π—•π—œπ—¦π—›π—’ π— π—”π——π—’π—šπ—’ 𝗬𝗔 π—žπ—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠

π—žπ—ͺ𝗔 π—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ— π—œπ—” 99.8 π—ͺπ—”π—π—¨π— π—•π—˜ π—ͺπ—”π— π—˜π—₯π—œπ——π—›π—œπ—” 𝗠𝗔π—₯π—˜π—žπ—˜π—•π—œπ—¦π—›π—’ π— π—”π——π—’π—šπ—’ 𝗬𝗔 π—žπ—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana  na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.
H’s mom (@aiishadahir) 's Twitter Profile Photo

Kun faya kun, Everything will work out for you. You will be amazed. The Big blessing is about to manifest in your life. What you've been praying for is on its way. So let it come with His perfect timing. For Allah it is Kun faya kun and it is.

H’s mom (@aiishadahir) 's Twitter Profile Photo

Pray Tahajjud . Never tell anyone. Feed an orphan. Never tell anyone. Start that business. Never tell anyone. Memorize your favorite Surah. Never tell anyone. People ruin beautiful things

Ofisi ya Waziri Mkuu (@tzwazirimkuu) 's Twitter Profile Photo

MAJALIWA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA ACTIF 2025, GRENADA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025

MAJALIWA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA ACTIF 2025, GRENADA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KAMATI KUU CCM YAMALIZA KIKAO MUDA HUU Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Wajumbe wa Kamati Kuu wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Aisee haya majina ndio mtajua kwa nini CCM inanufaika zaidi kwa Chadema kutokuwepo kwenye uchaguzi.. kuna watu wamekatwa halafu hawana option aliyokuwa nayo Lowassa… Shocking news inakuja

MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

MINISTER KOMBO APPLAUDS AFRICA CDC'S ROLE IN SAFEGUARDING AFRICA’S HEALTH Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (MP), visited the Africa CDC Headquarters in Addis Ababa, Ethiopia, where he commended the institution’s

MINISTER KOMBO APPLAUDS AFRICA CDC'S ROLE IN SAFEGUARDING AFRICA’S HEALTH
Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (MP), visited the Africa CDC Headquarters in Addis Ababa, Ethiopia, where he commended the institution’s
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai

TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai