
Mwigulu Nchemba, PhD
@mwigulunchemba1
Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Economist | MNEC | MP | Proud Father |
ID: 1872561842
http://mof.go.tz 16-09-2013 18:14:06
4,4K Tweet
551,551K Followers
332 Following


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ukiongozwa na Gavana wa Benki hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, ambapo umeangazia mafanikio ya Benki hiyo katika kuendelea kuimarisha uchumi.
















Been reading this thing. Iko "Well Written" kudos kwa Bank of Tanzania na Ministry of Finance Tanzania kwa ujumla👏

