Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile
Neema Lugangira

@neemalugangira

Proud Mother👫| MP @bunge_tz | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica | Board @parlnetwork | Co-Chair @SUN_Movement | Africa Envoy @WPLeadersOrg

ID: 4140714021

linkhttps://www.parliament.go.tz calendar_today08-11-2015 09:45:24

16,16K Tweet

22,22K Followers

3,3K Following

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Humbled to join the #JustTransition panel at Agriculture, Nutrition & Health Academy Week in Dar, sharing perspectives on equity across agri-food systems. Grateful for the recommendation by Lord Lord Jonny Oates to Joe Yates, Co-Director ANH London School of Hygiene & Tropical Medicine. Wrapped the day with friends, UK MPs (David Mundell MP,

Today marks the end of the 12th Parliament as H.E. President Samia Suluhu Hassan dissolves it. I thank God for the honour to serve. My final duty this term: presenting my 5-Year Impact Report to the Registrar of NGOs. Grateful to all who walked this journey with me. I’ve given it

Kufuatia Hotuba ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Bungeni tumehitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 ambalo Mhe Rais atalivunja rasmi Agosti 3 kupitia GN hivyo naendelea kuwasilisha kwenu muhtasari wa Taarifa yangu. Sura ya 12 — Safari haikuwa nyepesi — changamoto

Kufuatia Hotuba ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Bungeni tumehitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 ambalo Mhe Rais atalivunja rasmi Agosti 3 kupitia GN hivyo naendelea kuwasilisha kwenu muhtasari wa Taarifa yangu.

Sura ya 12 — Safari haikuwa nyepesi — changamoto
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

#Miaka5YaLugangira #BintiLugangira Usawa wa Kijinsia hauji kwa kauli — unajengwa kwa hatua, nafasi, na mifumo. Kupitia Sura ya 7 (uk. 26–33, 44–46), nimeonyesha kazi niliyofanya kuhakikisha wanawake wanapata fursa zaidi kushiriki kwenye siasa na uchaguzi. Nimeunganisha

#Miaka5YaLugangira #BintiLugangira

Usawa wa Kijinsia hauji kwa kauli — unajengwa kwa hatua, nafasi, na mifumo.

Kupitia Sura ya 7 (uk. 26–33, 44–46), nimeonyesha kazi niliyofanya kuhakikisha wanawake wanapata fursa zaidi kushiriki kwenye siasa na uchaguzi.

Nimeunganisha
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mungu kwa heshima ya kuwa Mbunge VM CCM - NGOs (2020–2025). Nimejitahidi kuitendea haki nafasi hii. Leo nimechukua fomu ya kutetea nafasi hii ili nikamilishe kazi ya sekta yetu kwa maslahi ya taifa letu. Nashukuru CCM kwa kuongeza uwakilishi toka 1 hadi 2 Bara,

#Miaka5YaLugangira #BintiLugangira Sura ya 8 ya Taarifa inaonyesha mchango wangu wa moja kwa moja kupitia NGOs nilizoanzisha — @agrithamani (2017/18) na @omukahub (2022) — katika maendeleo ya jamii kuanzia Bukoba Mjini hadi Taifa. Nilirudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Viti

#Miaka5YaLugangira #BintiLugangira

Sura ya 8 ya Taarifa inaonyesha mchango wangu wa moja kwa moja kupitia NGOs nilizoanzisha — @agrithamani (2017/18) na @omukahub (2022) — katika maendeleo ya jamii kuanzia Bukoba Mjini hadi Taifa.

Nilirudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Viti
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

#BintiLugangira nimepokea Cheti cha Shukrani kutoka kwa Mkurugenzi #BukobaMjini kwa mchango wangu wa maendeleo ngazi ya jamii — ni heshima kubwa kuhitimisha miaka 5 ya utumishi kwa namna hii. 🙏🏽 Bukoba ni nyumbani — kuchangia maendeleo ni wajibu hivyo wanabukoba, twendeni pamoja

#BintiLugangira nimepokea Cheti cha Shukrani kutoka kwa Mkurugenzi #BukobaMjini kwa mchango wangu wa maendeleo ngazi ya jamii — ni heshima kubwa kuhitimisha miaka 5 ya utumishi kwa namna hii. 🙏🏽

Bukoba ni nyumbani — kuchangia maendeleo ni wajibu hivyo wanabukoba, twendeni pamoja
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mabunge, na nimeadhimisha siku hii kwa kukabidhi Taarifa yangu ya #Miaka5YaLugangira kwa Mhe Dr. Dorothy Gwajima, Waziri WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ambaye pia ndiye mlezi na msimamizi wa Sekta yetu ya NGOs. Imekuwa heshima kubwa kufanya naye kazi kwa miaka yangu 5

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mabunge, na nimeadhimisha siku hii kwa kukabidhi Taarifa yangu ya #Miaka5YaLugangira kwa Mhe Dr. Dorothy Gwajima, Waziri WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ambaye pia ndiye mlezi na msimamizi wa Sekta yetu ya NGOs.

Imekuwa heshima kubwa kufanya naye kazi kwa miaka yangu 5
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Ilikuwa heshima kubwa kuhojiwa na Habari za UN Siku ya Kimataifa ya Mabunge, Juni 30. Nilielezea nafasi ya Wabunge Wanawake kuchagiza usawa wa kijinsia kwenye siasa kwa lengo la kuongeza uwakilishi wa wanawake. Ukatili wa Kijinsia kwenye Uchaguzi kuwa Kosa la Uchaguzi ni moja ya

As a Member of Parliament, on 1 June 2025, I received the great honour of being appointed as the first Secretary General of Women Political Leaders — a global network of women politicians committed to increasing the number and influence of women in political leadership. This is a major

As a Member of Parliament, on 1 June 2025, I received the great honour of being appointed as the first Secretary General of Women Political Leaders — a global network of women politicians committed to increasing the number and influence of women in political leadership.

This is a major
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

📍#Miaka5YaLugangira Nimefurahi sana kuona Wakurugenzi Wanawake wa NGOs wakijitokeza kwa wingi kugombea nafasi ya Ubunge Viti Maalum CCM kupitia NGOs — jambo kubwa sana kwangu binafsi. Katika awamu zilizopita, nafasi hii haikuonekana kuwa na muunganiko wa moja kwa moja na Sekta

📍#Miaka5YaLugangira
Nimefurahi sana kuona Wakurugenzi Wanawake wa NGOs wakijitokeza kwa wingi kugombea nafasi ya Ubunge Viti Maalum CCM kupitia NGOs — jambo kubwa sana kwangu binafsi.

Katika awamu zilizopita, nafasi hii haikuonekana kuwa na muunganiko wa moja kwa moja na Sekta
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Today, 4 years later, we celebrate my daughter, Georgia Blessings on her BSc (Hons) Nutrition graduation #QMU 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿— a milestone that feels extra special in what has been an incredible year for her, a triple graduation. There were moments I didn’t know how I’d manage, but her

📢 My first official task as Secretary General Women Political Leaders: overseeing the Int’l Telecommunication UnionWomen Political Leaders partnership. On 9 July 2025, we signed a partnership agreement under the Network of Women Ministers & Leaders in ICT. Thank you Doreen Bogdan-Martin & Silvana Koch-Mehrin — together we’ll strengthen

📢 My first official task as Secretary General Women Political Leaders: overseeing the Int’l Telecommunication Union–Women Political Leaders partnership. On 9 July 2025, we signed a partnership agreement under the Network of Women Ministers & Leaders in ICT. Thank you Doreen Bogdan-Martin & Silvana Koch-Mehrin — together we’ll strengthen
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

🌍 My first speaking engagement as SG Women Political Leaders was at the #FemAI Global AI Lab launch in Geneva 🇨🇭on 9 July. #AIforGood Honored to speak alongside GIZ MD Anna Sophie Herken, Lacina Koné & a powerful panel of global leaders. Grateful to Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari Minister Hon.

🌍 My first speaking engagement as SG Women Political Leaders was at the #FemAI Global AI Lab launch in Geneva 🇨🇭on 9 July. #AIforGood

Honored to speak alongside GIZ MD Anna Sophie Herken, Lacina Koné & a powerful panel of global leaders.

Grateful to Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari Minister Hon.
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

📍Centre Stage at the IPU–WSIS High-Level Dialogue | AI & Digital Governance From initiating the first-ever WSIS session on Parliamentarians in 2022, to now speaking at the historic IPU–WSIS High-Level Dialogue in 2025, I am proud to see my vision come full circle.

📍Centre Stage at the IPU–WSIS High-Level Dialogue | AI & Digital Governance

From initiating the first-ever WSIS session on Parliamentarians in 2022, to now speaking at the historic IPU–WSIS High-Level Dialogue in 2025, I am proud to see my vision come full circle.
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

An honour to share the main stage twice 🎤 with Doreen Bogdan-Martin on 11 July 2025 at #AIforGood. From the IPU–WSIS High-Level Dialogue 🏛️ to the Women Leaders in AI & Standards panel 🤖, it was a powerful moment to bring political leadership into global tech governance. Proud to

An honour to share the main stage twice 🎤 with Doreen Bogdan-Martin on 11 July 2025 at #AIforGood.

From the IPU–WSIS High-Level Dialogue 🏛️ to the Women Leaders in AI & Standards panel 🤖, it was a powerful moment to bring political leadership into global tech governance.

Proud to
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

When leadership meets legacy. 🤝 Truly humbled to serve as Secretary General of Women Political Leaders, drawing continued inspiration from trailblazers like Doreen Bogdan-Martin. Balancing parliamentary responsibility with this global leadership role is a great honour—and with her support, I’m

When leadership meets legacy. 🤝

Truly humbled to serve as Secretary General of Women Political Leaders, drawing continued inspiration from trailblazers like Doreen Bogdan-Martin.

Balancing parliamentary responsibility with this global leadership role is a great honour—and with her support, I’m
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

🎤 Honoured to keynote the UN Women Cross-Party Forum in 🇲🇼 Malawi! We tackled the real barriers to women’s political leadership—from 💻 tech-facilitated violence to 💰 campaign finance & 🤝 solidarity that empowers. As I wrap my first term in office, what started as personal

🎤 Honoured to keynote the UN Women Cross-Party Forum in 🇲🇼 Malawi!

We tackled the real barriers to women’s political leadership—from 💻 tech-facilitated violence to 💰 campaign finance & 🤝 solidarity that empowers.

As I wrap my first term in office, what started as personal
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru Shirika la EMEDO kwa kuandaa kikao maalum cha kutambulisha kwangu Mradi wa Lake Victoria Drowning Prevention Project (LVDPP). Niliwakilishwa na Abeid na Kaijage kufuatia dharula niliyopata. Tumekubaliana kushirikiana kutekeleza mradi huu #BukobaMjini kupitia

Nawashukuru Shirika la EMEDO kwa kuandaa kikao maalum cha kutambulisha kwangu Mradi wa Lake Victoria Drowning Prevention Project (LVDPP). Niliwakilishwa na Abeid na Kaijage kufuatia dharula niliyopata.

Tumekubaliana kushirikiana kutekeleza mradi huu #BukobaMjini kupitia
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

🎓 Georgia Blessings — from graduation on 8 July to motherhood on 23 July, a double miracle in one season. 💫 Mama Leilani. 💛 My arms are full and so is my heart. Becoming a grandmother is a sacred honour, and watching my daughter become a mother has been the most powerful