NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile
NIC INSURANCE

@nic_tanzania

NIC Insurance #SisiNdiyoBima
Download our App ⬇️⬇️
play.google.com/store/apps/det…

ID: 700674315759415296

linkhttp://ww.nicinsurance.co.tz calendar_today19-02-2016 13:32:29

1,1K Tweet

1,1K Followers

68 Following

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mapinduzi Cup - Pemba Zawadi ya mchezaji bora hatua ya makundi imekwenda kwa Feisal Salum kutoka timu ya Zanzibar Heroes kwenye Mechi kati Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars. #nicinsurance #sisindiyobima #nicmapinduzicup

Mapinduzi Cup - Pemba 

Zawadi ya mchezaji bora hatua ya makundi imekwenda kwa Feisal Salum kutoka timu ya Zanzibar Heroes kwenye Mechi kati Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars.

#nicinsurance #sisindiyobima #nicmapinduzicup
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Kila la kheri Young Africans SC (@yangasc ) kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe #nicinsurance #sisindiyobima

Kila la kheri Young Africans SC (@yangasc ) kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe

#nicinsurance #sisindiyobima
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

President @samia_suluhu_hassan welcomes fellow African leaders,delegates and partners to the Africa Energy Summit 2025 to be held on the 27th - 28th Jan 2025 in Dar es salaam, Tanzania #nicinsurance #Mission300 #PoweringAfrica #Powering Tanzania

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Mhe. @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #nicinsurance #sisindiyobima

Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Mhe. @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 

#nicinsurance #sisindiyobima
Uhondo TV (@uhondotv) 's Twitter Profile Photo

Idara ya Bima za Mali na Ajali NIC INSURANCE imeendela kutoa mafunzo kwa watumishi wake kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja kuanzia hatua ya uandikishaji bima na namna ya kushunghulikia madai ya bima.

Idara ya Bima za Mali na Ajali <a href="/nic_tanzania/">NIC INSURANCE</a> imeendela kutoa mafunzo kwa watumishi wake kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja kuanzia hatua ya uandikishaji bima na namna ya kushunghulikia madai ya bima.
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi NIC Bw. Kisuguru, amewahimiza Watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kuwezesha Shirika kufikia malengo lililojiwekea. Bwana Kisuguru ameyasema hayo wakati wa Kikao cha 20 cha Baraza la Wafanyakazi #sisindiyobima

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi NIC Bw. Kisuguru, amewahimiza Watumishi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kuwezesha Shirika kufikia malengo lililojiwekea. Bwana Kisuguru ameyasema hayo wakati wa Kikao cha 20 cha Baraza la Wafanyakazi 

#sisindiyobima
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

“Mwanamke ni nguvu kubwa katika maendeleo ya jamii.” Heri ya Siku ya Wanawake kwa Wanawake wote Duniani. #nicinsurance #sisindiyobima

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tunawapongeza Dkt. Maria Mhina na Bi Upendo Shengena kwa kuhitimu mafunzo ya International Certification in Inclusive Insurance katika Chuo cha Africa College of Insurance and Social Protection. Tanzania Insurance Regulatory Authority #nicinsurance #sisindiyobima

Tunawapongeza Dkt. Maria Mhina  na Bi Upendo Shengena kwa kuhitimu mafunzo ya International Certification in Inclusive Insurance katika Chuo cha Africa College of Insurance and Social Protection.

<a href="/TIRA_TZ/">Tanzania Insurance Regulatory Authority</a> 

#nicinsurance #sisindiyobima
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

NIC Iftar - Tanga “Katika Mwezi huu Mtukufu wa ramadhan napenda kuendelea kuwakumbusha watanzania kuendela kutenda matendo mema na kuwasadia watu wenye mahitaji kwenye jamii zetu” - Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe. Dkt Balozi Batlder Buriani

NIC Iftar - Tanga

“Katika Mwezi huu Mtukufu wa ramadhan napenda kuendelea kuwakumbusha watanzania kuendela kutenda matendo mema na kuwasadia watu wenye mahitaji kwenye jamii zetu” - Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe. Dkt Balozi Batlder Buriani
NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

USIKOSE kufuatili kipindi cha ELIMIKA NA BIMA Wiki hii (Alhamis) Clouds TV kuanzia saa 3 Usiku Sasa unaweza kukata Bima ya gari (ndogo au kubwa) kupitia Whatsapp +255 684 598 912 #nicinsurance #sisindiyobima

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964 - 2025) Kauli mbiu: "Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa, Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025" #nicinsurance #sisindiyobima

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa Amani Mhe. Cleopa David Msuya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1931-2025. #nicinsurance #sisindiyobima

NIC INSURANCE (@nic_tanzania) 's Twitter Profile Photo

#Tumejihakikishia Sasa tunatembea Kifua mbele , na sauti ni ya juu sana kwani Uhakika upo , ndani ya Miaka mitatu mfululizo Kaa karibu nasi , jumatatu joto la asubuhi