Kumlazimisha demu wako afute namba ya mchizi uliyekuta wanachart kimapenzi,haitafanya abadlishe hisia zake kwa huyo mwanaume.
Elewa tu bado wataendelea, muhimu chukua maamuzi.
Jana niliandika kuwa wanaochukulia poa COMMENTS za #NoReformsNoElection ni wapumbavu.
Zile Comments haziandikwi na MAROBOT ni watu. Kama watanzania wameweza kuandamana mtandaoni kwa kuongea LUGHA MOJA basi wajue Jambo kubwa linakuja mbele.
Nilisema NI VIONGOZI WAPUMBAVU TUU NA
Mlevi anapata shida sana, mtu anakunywa pombe kuanzia saa moja usiku mpaka saa saba usiku afu anaenda kulala hiyo saa nane mpaka saa moja asubuhi ila katikati ya mida hii anakuwa kaamka kwenda kukojoa mara 20.
Nimepanda daladala ya mwenge mnazi nimekaa na mtoto mmoja mashalaah mtt sura chocolate colour chuchu saa sita kishundu mchongeko halaf ana iPhone reverse kiukwel nimeogopa hata kuomba namba daah ๐คฆ๐คฆ๐
Huyu menna ally licha ya kuwa mtangazaji akitokea pembeni kwenye tasnia ya uchekeshaji anajua kuvaa uhalisia afu kapo namna flani
Tazama videos kwenye comment ๐๐๐
Wenetu wanaangamia kwenye dimbwi la umaskini Kwa kosa la kutokuthubutu,inahuzunisha sana๐ฅ
Hii yote nikwasababu ya uwoga na kung'ang'ania kazi zisizo na manufaa kwao.
Kama unao uwezo wakutumia fursa kama changamoto za kutatua matatizo ya watu na ukajipatia kipato. GREATโ
Kabla haujalala njoo tuchote Followers Kwa pamoja tufike 10k+
Leta handle yako tukufollow chap ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐