π’πŽπŒπ„πŠπ„ (@ntemi_someke) 's Twitter Profile
π’πŽπŒπ„πŠπ„

@ntemi_someke

Iam the Chief from Sukuma Land πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

ID: 1558726202013192192

linkhttps://youtu.be/UH_dJeRu0Aw?si=JyCNawwPOfn4j6WK calendar_today14-08-2022 08:04:37

81,81K Tweet

14,14K Followers

10,10K Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Simba kufuzu kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi milioni 30 kwa kila goli litakalofungwa na timu hiyo katika fainali, akionyesha hamasa ya "Goli la Mama" kwa Wachezaji. Ahadi hii

Baada ya Simba kufuzu kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi milioni 30 kwa kila goli litakalofungwa na timu hiyo katika fainali, akionyesha hamasa ya "Goli la Mama" kwa Wachezaji.  

Ahadi hii
goligani (@goligani) 's Twitter Profile Photo

Kama ww ni AMPHIBIA utasema haya maneno ni sawa ila kwa wanaojua KINGEREZA kuna tofauti kubwa kati ya "to the" na "into the" AMPHIBIA mnasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama ww ni AMPHIBIA utasema haya maneno ni sawa ila kwa wanaojua KINGEREZA kuna tofauti kubwa kati ya "to the" na "into the" 
AMPHIBIA mnasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

88’ | Simba SC 1-1 Mashujaa FC. Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo. #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja

88’ | Simba SC 1-1 Mashujaa FC.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms, data na taarifa za kila punde wakati wa mchezo.  #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
π’πŽπŒπ„πŠπ„ (@ntemi_someke) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mpigania haki za watu aliyewahi kuishi kwa amani ktk taifa analolipigania... #Ushauri_wanguπŸ‘‡ " Ni Bora kuishi kwa kufuata mfumo uliopo,na kuutii, kuliko kulingia Sheria kwa kuamini kwamba sheria itakusaidia." #FREETUNDULISU πŸ™

Hakuna mpigania haki za watu aliyewahi kuishi kwa amani ktk taifa analolipigania...
 #Ushauri_wanguπŸ‘‡
 " Ni Bora kuishi kwa kufuata mfumo uliopo,na kuutii, kuliko kulingia Sheria kwa kuamini kwamba sheria itakusaidia."

#FREETUNDULISU πŸ™