Nyakitonto Youth Dev (@nydtanzania) 's Twitter Profile
Nyakitonto Youth Dev

@nydtanzania

Nyakitonto Youth for Development Tanzania (NYDT) is a youth-led local NGO working to save people. It was established in September 2010.

ID: 795223402747404288

calendar_today06-11-2016 11:16:48

71 Tweet

97 Followers

188 Following

Nyakitonto Youth Dev (@nydtanzania) 's Twitter Profile Photo

Katika kilele cha maazimisho ya nanenane kijiji cha Kidahwe waliaya ya Kigoma(V) zaidi ya wananchi 2000 wamepata elimu ya mbinu za kilimo bora, lishe ya mama na mtoto, makundi matano ya vyakula anvyopaswa ale mama mjamzito na mtoto kutoka shirika la Nyakitonto youth.

Leo katika ukumbi wa Aqua lodge mjini kigoma wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili mradi wa uwazi na uwajibikaji unaotekelezwa kwatika kata 9 Manispaa ya kigoma ujiji chini ya taasisi ya Nyakitonto youth for Development Tanzania chini ya ufadhili wa Foundation For Civil society

NYDT Monthly knowledge sharing and results meeting. We meet monthly with all field officers,Partners like Danish refugees Council ,Enabel,AGRA,RUCODIA and Private Companies! Tunajifunza kuleta matokeo ya pamoja kwenye jamiii ya Tanzania.

NYDT Monthly knowledge sharing and results meeting.
We meet monthly with all field officers,Partners like Danish refugees Council ,Enabel,AGRA,RUCODIA and Private Companies!
Tunajifunza kuleta matokeo ya pamoja kwenye jamiii ya Tanzania.
Nyakitonto Youth Dev (@nydtanzania) 's Twitter Profile Photo

Mjadala mkubwa juu ya huduma Bora ya maji manispaa ya kigoma Ujiji, Mgeni rasimi katibu tawala wilaya ya Kigoma Na mkurugenzi KUWASA, Watumishi wa Kuwasa ,Waandishi wa habari Na Team ya Nyakitonto Youth for Development Tanzania. Lengo ni kuboresha huduma za maji kwa wananchi.

Small holders farmers transformation! Nyumbigwa Village Kasulu ni kikao Na VBAA ikiwa ni maandalizi ya msimu wa kilimo 2019. Maharage,Mahindi Na muhogo

Small holders farmers transformation! Joint visit RAS Kigoma,RUCODIA,Farm Radio,TCCIA and AGRA at Basanza ,Kazulamimba and Nyanganga Villages Uvinza DC ni kikao Na VBAA na Vikundi vya wakulima ikiwa ni maandalizi ya msimu wa kilimo 2019. Maharage,Mahindi Na muhogo

Small holders farmers transformation! Joint visit RAS Kigoma,RUCODIA,Farm Radio,TCCIA and AGRA at Basanza ,Kazulamimba and Nyanganga Villages Uvinza DC

 ni kikao Na VBAA na Vikundi vya wakulima ikiwa ni maandalizi ya msimu wa kilimo 2019.

 Maharage,Mahindi Na muhogo
Nyakitonto Youth Dev (@nydtanzania) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 12/10/2019 katika ukumbi wa Ofisi za NYDT (head office) NYDT ikishirikiana na PANITA na IMA World Health imefanikiwa Kufanya mafunzo ya Volunteers na Vingunge ikiwa lengo kuu ni kuwawezesha kupata uelewa… instagram.com/p/B3h-6p_lusL/…

Nyakitonto Youth Dev (@nydtanzania) 's Twitter Profile Photo

Nyakitonto Youth for Development Tanzania participating in Youth Partnership Forum under TYC at Mwl Nyerere International Conference Centre at Dar es salaam. Hon Antony Mavunde Deputy Minister of State in the Prime Ministers Office visiting NYDT Exhibitions.

Kikao cha Kamati ya PETs Wilaya Kigoma ,Kikiongozwa na Kaimu mkuu wa wilaya ya Kigoma, Wadau kutoka Mamlaka ya Maji KUWASA, EWURA CCC,Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Kigoma Ujiji,PETs Members na NYDT Team!

Amazing and wonderful Day for 24 VBAs to Participate on the Showcasing and Testing of Maize Threshing mashine ! Made by GEMEGI COMPANY LIMITED!an SMEs working with Nyakitonto Youth To acceralate Maize Threshing Technology to farmers in rural areas Kigoma.