Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile
Bakhresa Group

@ofclbakhresagrp

More than just a company, Bakhresa Group is a collection of Africa's best talents working together to build and empower the continent. 🌾⛴🍦🥛⚽️📡📺💧

ID: 940630535034015746

linkhttps://www.bakhresa.com calendar_today12-12-2017 17:12:50

787 Tweet

5,5K Followers

4 Following

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara kutoka nchi mbalimbali wakishirikiana na benki ya Equity wametembelea kiwanda cha kuzalisha unga cha Said Salim Bakhresa & Co. Ltd - Buguruni Flour Mills.

Unaweza kuandaa mapishi mbalimbali kwa kutumia unga wetu wa ngano wa Safina unaopatikana sasa katika muonekano mpya. Andaa donati na kisha share nasi tuone mapishi yako kwa kuweka hashtag #mapishiyasafina #bidhaborazabakhresa

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Makampuni ya Bakhresa unapenda kukanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni na katika machapisho mbalimbali kuwa Makampuni haya yamezindua huduma inayowezesha watu kupata faida kutumia mfumo wa kidigitali. Taarifa hizo za kipotoshaji zipuuzwe.

Uongozi wa Makampuni ya Bakhresa unapenda kukanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni na katika machapisho mbalimbali kuwa Makampuni haya yamezindua huduma inayowezesha watu kupata faida kutumia mfumo wa kidigitali.

Taarifa hizo za kipotoshaji zipuuzwe.
Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Vipi umepika nini leo? Unaweza kuandaa egg rolls kwa kutumia unga wa ngano wa Azam? Share mapishi yako tuone ustadi wako kwa kutag #bidhaaborazabakhresa

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Chapa ya AZAM imepewa cheti cha ubora, maarufu kama Superbrand Afrika Mashariki, kutokana na ubora wa bidhaa zake zinazouzwa kwa gharama nafuu na kuwafikia wananchi wengi. #azam #bidhaaborazabakhresa

Chapa ya AZAM imepewa cheti cha ubora, maarufu kama Superbrand Afrika Mashariki, kutokana na ubora wa bidhaa zake zinazouzwa kwa gharama nafuu na kuwafikia wananchi wengi.

#azam #bidhaaborazabakhresa
Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Unataka Pizza? Andaa pizza yako kwa kutumia unga wa Azam. Andaa mapishi unayopenda kwa kutumia unga wa Azam, Unga Nambari Moja! #azam #bidhaaborazabakhresa

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Bakhresa Group imeanza maadhimisho ya kutimiza miaka 50 tangu ilipoanzishwa mwaka 1975. Sambamba na hilo imezindua muonekano mpya wa unga wa Ngano Bora. Mgeni rasmi Dkt. Suleiman Serera - Naibu Katibu Mkuu Viwanda na Biashara ametoa pongezi na kuhimiza uchapakazi na ubunifu.

Naibu katibu Mkuu viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera ameipongeza Bakhresa Group kwa ubunifu na uchapakazi huku akiitaja kuwa ni kampuni ya mfano. Amesema hayo katika uzinduzi wa Bakhresa Group - Golden Jubilee ulioendana na uzinduzi wa muonekano mpya wa unga wa Ngano Bora.

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali nchini watembelea kiwanda cha kuchakata matunda na kuzalisha vinywaji baridi cha bakhresa food products limited kilichopo mwandege nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Unga wa ngano wa Azam Safina, unga mweupe unaokuwezesha kuandaa mapishi mbalimbali ya nyumbani pamoja na bakery. 🍩 🥐 Unaweza kuandaa mikate, donati na mandazi na mengine mengi 🍩 🥐 🍩. Jaribu leo na share nasi kwa hashtag #bidhaaborazabakhresa #mapishiyasafina

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

🥐 🌾 Unga wa Azam Ngano Bora katika muonekano mpya ✨ sasa unapatikana madukani kote. Furahia toleo hili maalumu katika kuadhimisha miaka 50 ya Bakhresa Group. Unga wa ngano wa Azam ni unga nambari moja Afrika.

Usipitwe na ofa kabambe ndani ya Sabasaba. Karibu katika banda letu la Bakhresa Group hapa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam upate fursa za kipekee. Tunakusubiri ✨ 🤝 #azam #bidhaaborazabakhresa #sabasaba

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Mambo yapo ndani ya banda letu la Bakhresa Group katika viwanja vya Sabasaba. Karibu sana ufurahie mambo kedekede. #azam #bakhresagroup

Bakhresa Group (@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Umepita katika banda la Bakhresa Group? Bado unaweza kututembelea hapa katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba. #bidhaaborazabakhresa #azam