
valary olesia
@olesia_valary
a gender and disability inclusion advocate.
an ambassador with gifted community centre.
srhr champion.
nivishe foundation mental health fellow
ID: 1625826953365159943
15-02-2023 12:00:18
760 Tweet
1,1K Followers
2,2K Following

Tilia maanani hii knowledge tunapeana kuhusu TRIPLETHREAT. Itakuhelp kufight GBV,HIV NA TEEN PREGNANCY. #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Let's end gender based violence and advocate for positive masculinity, creating a safer space where young people are safe from any for of violence. #usiposkiaumebant #EndTrippleThreat Kenya SRHR Alliance Right here Right now Ke


Wacheni kunyamaza reality ya hii TRIPLETHREAT. Speak out #ISIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Ball ikitokea both partners waholdiwe accountable #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Tunajua ní ngumu kubalika ,lakini ni muhimu tuchukue hatua Leo #END TRIPLETHREAT #USIPOSIKIAUMEBANT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Kuna wazazi,walimu na manrathe wanaelewa game na wanastand na Sisi sasa nyinyi mtaendelea kuignore Hadi lini #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Time to end TRIPLETHREAT is now #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


True faith protects not controls. Vijana wanahitaji knowledge kuhusu afya yao bila yoga #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


GBV affects us all. Whether directly or indirectly. Lets work together to create safe space for students in higher education #END TRIPLETHREAT #USIPOSIKIAMEBANT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Ndoto zangu ni muhimu. Lazima niepuke na mimba za utotoni na unyanyasaji naendelea na masomo yangu #END TRIPLETHREAT #USIPOSIKIAUMEBANT .Right here Right now Ke .Kenya SRHR Alliance


Kujali vijana si Tu kuwaambia usiwahi fanya nibkuwawekea space ya kupata honest education,access ya health services na mazingira safe ya kufanya maanuzi Yao bila yoga # END TRIPLETHREAT #USIPOSIKIAUMEBANT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Typo safari moja wazazi,walimu viongozi na vijana tukishikana tunawezakujenga jamii yenye upendo na haki # END TRIPLETHREAT #USIPOSIKIAUMEBANT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke


Hii triple threat statistics hatakwa WHO zinadai madhara iko juu sana. Vijana tuepuka nayo #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke

Nawahikishia tukijikinga tutakuwa safe na madhara zingine za hizi TRIPLETHREAT tutaavoid. #USIPOSIKIAUMEBANT #END TRIPLETHREAT .Kenya SRHR Alliance .Right here Right now Ke

Accelerating inclusion: The Power of Self-Advocacy for Women with Disability. March 27, 2025, at 1 PM EAT (11 AM Nigeria, 12 PM Malawi) on Facebook Live inable solutions. The moderator, Valary (Kenya), speakers: Faith (Kenya), Anifat (Nigeria), Chrissy (Malawi), and Bethelhem (Ethiopia).


Set a reminder for our upcoming space about Persons with Disabilities Act 2025 with Julio🦯 valary olesia Karen Muriuki and Kenyatta Sam on Wednesday, May 28 2025 at 12PM EAT x.com/i/spaces/1nAKE…


