
Oscar Nickson Nkembo
@oscarnickson20
Tanzanian 🇹🇿 Professional Journalist / Sports Caster & Football Commentator
ID: 851010187813150720
09-04-2017 09:53:34
3,3K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following


Nimefurahia Kufuatilia Uchambuzi wa Mechi Ya CACC baina ya Simba Vs SB kwa kiswahili na Kingereza , AHMED ABDALLAH George Ambangile edgar kibwana DStv (TZ) SuperSport Football ⚽️

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inashiriki Maonesho ya “Wakulima Festival” yanayoendelea katika viwanja vya Jojo Satilya Halmashauri ya Mbeya vijijini kuanzia Aprili 24 - 30, 2025. tembelea banda letu upate elimu jinsi ambavyo mkulima anaweza kutumia maabara zetu kuongeza tija katika kilimo.



Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakulima kuzitumia maabara zilizopo Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kufanya uchunguzi wa udongo ili kujua aina gani ya zao la kulima katika eneo husika hali ambayo itasaidia kuongeza uzalishaji na kipato.



I BELIEVE IN YOU GUYS ❤️ Manchester United #ilovethisgame #positive4evra #forevrared






🚨 Manchester United have now met terms of £62.5m release clause in Matheus Cunha contract at Wolverhampton Wanderers - so #WWFC have given #MUFC permission to conclude deal with 26yo Brazil int’l forward, conduct medical & complete transfer The Athletic | Football nytimes.com/athletic/62986…

🚨 EXCLUSIVE: Manchester United make improved bid to sign Bryan Mbeumo from Brentford. New offer for 26yo forward worth £65m fixed + £5m add-ons. #MUFC awaiting #BrentfordFC response as they work to close deal for Cameroon int’l & top target The Athletic | Football nytimes.com/athletic/64569…