Pilato (@p1lato) 's Twitter Profile
Pilato

@p1lato

BITCH DON'T KILL MY VIBE.

ID: 1544913202420539393

calendar_today07-07-2022 05:16:50

28,28K Tweet

4,4K Followers

311 Following

UlimwenguπŸ‡¦πŸ‡· (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizindua Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025. Huu ni mwanzo wa Tanzania mpya, Tanzania ya Maendeleo. Hakika Dkt. Samia anaendelea kuandika

Rais, Mhe. Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> akizindua Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.

Huu ni mwanzo wa Tanzania mpya, Tanzania ya Maendeleo. Hakika Dkt. Samia anaendelea kuandika
𝑫𝒓.π‘―π’Šπ’π’‚π’“π’š π’˜π’‚ π’€π’‚π’π’ˆπ’‚π• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

π™π˜Όπ™‰π™•π˜Όπ™‰π™„π˜Ό π™”π˜Όπ™π™π™‰π™‚π™π˜Ό π™ˆπ™„π™‡π˜Όπ™‰π™‚π™Š π™”π˜Ό π™‰π™„π™Žπ™ƒπ˜Όπ™π™„ π™”π˜Ό π™†π™„π™Žπ˜Όπ™Žπ˜Ό π™†π™π™‹π™„π™π™„π˜Ό π™π™π˜Όπ™‰π™„. Malengo ya urani ni kuzalisha nishati salama na endelevu, kuongeza mapato ya taifa, kutoa ajira, kukuza teknolojia, na ..... #KaziNaUtu #TunasongaMbele

π™π˜Όπ™‰π™•π˜Όπ™‰π™„π˜Ό π™”π˜Όπ™π™π™‰π™‚π™π˜Ό π™ˆπ™„π™‡π˜Όπ™‰π™‚π™Š π™”π˜Ό π™‰π™„π™Žπ™ƒπ˜Όπ™π™„ π™”π˜Ό π™†π™„π™Žπ˜Όπ™Žπ˜Ό π™†π™π™‹π™„π™π™„π˜Ό π™π™π˜Όπ™‰π™„.

Malengo ya urani ni kuzalisha nishati salama na endelevu, kuongeza mapato ya taifa, kutoa ajira, kukuza teknolojia, na .....

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
Siasa MamboleoπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡Έ (@siasamamboleo) 's Twitter Profile Photo

Kwa kufanya yote haya KWA WAKATI MMOJA , uzinduzi wa SGR, bandari kavu na kongani, Rais Samia anaonesha kwa vitendo dhamira ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki.

NAMALA. (@namalakasori) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale walioikosoa SGR, viwanda, na bandari kavu, leo ni siku ya kujifunza. Rais Samia ameonesha kuwa maono ya kiongozi wa kweli hujengwa kwa matokeo, si maneno matupu.

BABA AIKA✍️ (@baba_aika1) 's Twitter Profile Photo

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania Yaandika Historia Mpya! Kwa tani 54,000 za urani, tunajihakikishia nafasi ya tatu barani Afrika na kuwa kinara wa Afrika Mashariki katika nishati mbadala. Uongozi wa Dkt. Samia ni dira ya uthubutu,

UlimwenguπŸ‡¦πŸ‡· (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wamefurahia Fursa nyingi zinazopatikana kwenye bandari kavu ya Kwala, Kwa mahaba mazito wananchi wanamkaribisha Rais, Dkt. Samia kwa shangwe kubwa β€œKazi na Utu, Tunasonga Mbele” || #KaziNaUtu || #TunasongaMbele ||

One Sister (@rahma_simba) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipeleka Tanzania kwenye ramani ya dunia kwa kuifungua rasmi katika ushindani wa kimataifa wa nishati mbadala. Kupitia uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha kuchenjua urani, #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Headboy wa mtaa (@sirajitz1) 's Twitter Profile Photo

Tanzania kuwa nchi ya tatu Afrika kwa uzalishaji madini ya urani (uranium) baada ya ujenzi wa kiwanda cha majaribio cha kuchenjua madini ya Urani na kuwa nchi pekee kuzalisha madini hayo kwa ukanda wa Afrika Mashariki Safi sana #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

β€œMadini kwa Maendeleo ya Watanzania!” Kupitia uongozi madhubuti wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kusimamia kwa uthabiti sera za madini zinazolenga kuhakikisha kuwa Watanzania wananufaika moja kwa

Swahili RealTalkπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡Ί (@swahilirealtalk) 's Twitter Profile Photo

Mfumo unajivua gamba, unataka sura mpya kwa walau 60% hii 40% iliyobaki ni kwa ajili generational wisdom transfusion. Bunge litakua na sura mpya nyingi, Serikali itakua na sura mpya nyingi na maeneo mengi. Na ni katika utaratibu wa kawaida wa "dola" kufanya mega recruit after

Wakusoma πŸ‘‘ (@wakusoma223) 's Twitter Profile Photo

Uzinduzi wa mradi wa kuchakata urani Namtumbo ni uthibitisho mwingine wa maono makini ya Dkt. Samia Suluhu Mradi huu unaleta ajira, ujuzi mpya na kuchochea ukuaji wa uchumi wa ndani. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Swahili RealTalkπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡Ί (@swahilirealtalk) 's Twitter Profile Photo

Hawa ni Chadema, wana akili za umbwa koko, kila agenda wakirushiwa wanaruka nayo, hata kama muda huo huo walikua wana mchongo wa maana sana, wanaacha wanafuata kilichopo. Na CCM washawajuilia kwa hiyo kazi yao nu kuwavuruga tu na mix by yass maana they can't consistently stick

Swahili RealTalkπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡Ί (@swahilirealtalk) 's Twitter Profile Photo

Naam, hii bandari bwana. 1. Imejengwa kwa Billion 83 Taslimu za Kitanzania , za ndani bila misaada wapa mikopo ya ajabu. 2. Itaambatana na kongani ya viwanda 200+ (industrial park) ambayo tayari leo baadhi vinazinduliwa. 3. Malori yanayoenda Rwanda, DRC, Burundi, Zambia

Gogoryo King, NDC (@gogoryoking) 's Twitter Profile Photo

Never choose Political side out of desperation, you may end up supporting conmen in an awe of collective delusion. Chadema in Tanzania as the mighty case study & Bobi Wine.

Swahili RealTalkπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¦πŸ‡Ί (@swahilirealtalk) 's Twitter Profile Photo

Maybe for the clarity; 1. Tanzania as member of EAC shares Tax & Custom laws with all member states and thus, our trade laws are legally aligned 2. The policy behind those prohibition orders were targeting the flooding Chinese merchants NOT our African brothers 3. The