Pegao104 (@pegao104) 's Twitter Profile
Pegao104

@pegao104

To promote gender equality for development,environmental Sustainable, sociology-Economic development, Democracy and leadership skills.

ID: 1512444582088302593

calendar_today08-04-2022 14:58:06

13 Tweet

1 Followers

22 Following

KUKHAWA_Pemba (@kukhawa_pemba) 's Twitter Profile Photo

Mr. Eliquard from #segalFoundation trained #kukhawa executives on how to prepare a long term strategic plan that will lead them to the success of their NGOs

Mr. Eliquard from #segalFoundation trained #kukhawa executives on how to prepare a long term strategic plan that will lead them to the success of their NGOs
Pegao104 (@pegao104) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Mradi wa SWIL PEGAO awataka akina mama Kiyuyu kutokata tamaa na kuendelea kujipatia Elimu kwa Malengo ya Maisha Yao

Mkurugenzi wa Mradi wa SWIL PEGAO awataka akina mama Kiyuyu kutokata tamaa na kuendelea kujipatia Elimu kwa Malengo ya Maisha Yao
Pegao104 (@pegao104) 's Twitter Profile Photo

Wahamasishaji Jamii kutoka Wilaya ya Wete wafika Kojani kutoa Mafunzo ya Mwanamke na Uongozi katika Mradi wa @swil_project unaotekelezwa na Pegao104 ulidhaminiwa na Ambassador Tone Tinnes .

Wahamasishaji Jamii kutoka Wilaya ya Wete wafika Kojani kutoa Mafunzo ya Mwanamke na Uongozi katika Mradi wa @swil_project unaotekelezwa na <a href="/pegao104/">Pegao104</a> ulidhaminiwa na <a href="/NorAmbTz/">Ambassador Tone Tinnes</a> .
Pegao104 (@pegao104) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Pegao104 awataka Wadau kupeleka Mafunzo katika taasisi zao Juu ya Mwanamke na Uongozi ili kufikia adhma ya 50/50. Ameyasema hayo katika Kikao cha kupokea Mipango kazi ya Wadau juu ya utekelezaji wa Mradi wa SWIL unaodhaminiwa na Ambassador Tone Tinnes

Mkurugenzi wa <a href="/pegao104/">Pegao104</a> awataka Wadau kupeleka Mafunzo katika taasisi zao Juu ya Mwanamke na Uongozi ili kufikia adhma ya 50/50. Ameyasema hayo katika Kikao cha kupokea Mipango kazi ya Wadau juu ya utekelezaji wa Mradi wa SWIL unaodhaminiwa na <a href="/NorAmbTz/">Ambassador Tone Tinnes</a>
Pegao104 (@pegao104) 's Twitter Profile Photo

Bi. Salama Mussa Said awataka Wanawake Kujiamini na Kujitoa juu ya Uongozi na kuwataka kuyatumia mafunzo wanayopewa kivitendo ili kifikia malengo ya Mafunzo hayo.Ameyasema hayo katika Mafunzo ya Uongozi wanayopewa wanawake kutoka vyama tofauti vya siasa huko #pegao104